Nassib Sanga
Senior Member
- Aug 11, 2012
- 169
- 110
Habarini ndugu zangu. Kiukweli siku hizi nikiwa nabadilisha station kwenye king'amuzi changu nikiona sehemu wanamuonyesha mheshimiwa raisi naacha hapohapo niendelee kumsikiliza. Hii inanikumbusha kipindi fulani hapo zamani ilikuwa kila siku usiku lazima tusikilize hotuba za Mwalimu Nyerere redio Tanzania. Sijui wana jamvi wenzangu kama na nyie imekuwa hivyo kwenu