Jamani mbuga ni kubwana sanaaa! Najua wewe msomi hapa tukitumia policy ya Adam smith ya mwenye nguvu ndo ampate man of the hour, tutachinaaaa na kumalizana wenyewe kwa wenyewe!, Tutumie tu policy ya John Nash! Nash equilibrium itumike, ambapo tunawinda pamoja kila mtu anapata size yake! Adam Smith is a dead man, so are his policies!cc lara 1 are u invited
HAHAHAAAAAAAA! Unauliza makofi polisi au ndevu kwa Osama! NIMEMPERTITION MTAMBUZI KWA MIKE NA MAX KWA KUNICHELEWESHEA MUALIKO! Hio kesi yake kaiogopa!
umeona eeeh mbuga kubwa hii ila hiyoJamani mbuga ni kubwana sanaaa! Najua wewe msomi hapa tukitumia policy ya Adam smith tutachina, tutumie tu policy ya John Nash! Nash equilibrium itumike!
Ushakaguliwa unazugaaa tu! Hahaaaa! Nimei dadavua tayari!can't wait to see u face to face babuu
Ushakaguliwa unazugaaa tu! Hahaaaa! Nimei dadavua tayari!
Jamani mbuga ni kubwana sanaaa! Najua wewe msomi hapa tukitumia policy ya Adam smith ya mwenye nguvu ndo ampate man of the hour, tutachinaaaa na kumalizana wenyewe kwa wenyewe!, Tutumie tu policy ya John Nash! Nash equilibrium itumike, ambapo tunawinda pamoja kila mtu anapata size yake! Adam Smith is a dead man, so are his policies!
Sasa basi natangaza nia mapemaaa kwa grafani11, just talking and campany! Matola atakuwa nje ya nchi so sidhani kama atakuja! kama hajaalikwa babu mtambuzi nitaku pertition vibaya mnooo! Fanya tu umualike! Si unajua mi sio mtu wa kubanana pale pale!:A S wink:
hahahaha sasa watafute teamB watunishe mfuko in case of emergency lol matola asione hapa
Hahaaaaaa! Ushaaaaaaanza! Umejuaje ni dhahabu? Tena ishia hapo hapo! Mi nawashangaa nilacho mkubwa wenu na nyie madogo hiko hiko mnakitakaaa! Loooooooh! Haya ulikwa unachonga sanaa kwa mgiriki nimekuachia, hukuridhikaaa, ukaja kwa mgosi wa kaya, haya nae nakuacha sasa ila ulivo na roho ya korosho na usivo na haya unataka uje unibane hadi huku kwa Graffiti? Loooh! Kama kupe!mmmmmh matola kakupa ruhusa??? ila umevumbua dhahabu tegemea competition lol