Are you a man aged 33-40??

Ahaaaa haaaa nimemwambia kule chemba kabla mchakato haujafungwa wikiendi hii. Usijali file lako bado natembea nalo. Hebu ngoja kwanza nijipime naye kama tunaendana:

Vigezo vyake: navifikia kiasi gani?

Im looking for a man
1.With a heart to love truly, respect and care for the person he loves - Hapa naqualify na kuzidi.
2.The one with kid/kids and divorced/living alone atapewa kipaumbele - hapa naqualify.
3.Christian - Naqualify
4.Don't care about the skin color, just good looking hahah, Should be confident about his look - hapa atazimia na kublow mapigo (Kwa lugha ya watoto wa mjini). yaani this is HB aka Cool Gentleman.
5.not less than 33yrs not more than 40yrs - Hapa hola nimeula wa Chuya. Nina between 45-48
6.Should be employed or own business or both, a person with big dreams za maendeleo - Hapa nimequalify na zaidi.
7.Awe Faithful and straight asiwe muongo - hapa nimequalify na zaidi.
8.Not less than 1.65M height not more than 1.85 (though not very important), Hapa nimeula wa chuya. Niko 188 CM.
9.you could be drinking ocassionally or not ila usiwe Mlevi - Hapa niko vizuri. Sinywi kabisa.
10. Education not less than a diploma but with sharp mind - Hapa nime over qualify.
11. Anayejua kudeka na kudekeza- Hapa Utatanishi. Sijui Kudeka ila najua Kudekeza.

Je Yeye anameet Vigezo vyangu? Hebu nione:


Awe na Umri usiopita miaka 40 - Hapa naqualify
Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili - anaqualify kasema yuko bomba
Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya - Anaqualify
Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini - Anaqualify
Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD - hapa pia yuko vizuri.
Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka - hapa yuko sawa
Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana, hapa hajaweka wazi.

Duh! Ipo kazi
kaaz kweli kweli hahahah
 
Nina vigezo vyote, ila wewe ndo umechepuka. I dont even dream of drinking lol. Ukinywa mbele yangu ile harufu ya pombe lazima nishushie panadol.

Pm
 
All the best mumie, just be careful na hii mitandao kupembua wakweli na walaghai!..nimependa ulivyojielezea, unajiamini ipasavyo!!..
umesema kweli Mamii, tatizo sisi wafanyakazi makampuni binafsi tunakuwa busy sana to the extent huwezi kukutana na hawa watu kirahisi rahisi na pia huko kazini tunakuwa na muonekano wa userious wa kazi mpaka watu wanadhani huna muda na hayo mambo na pia kwangu mimi siwezi date mtu ninayefanya nae kazi sijui kwa nini, ndio maana naona hapa jamii forums ni changamsha akili you never know.
 
Mhhh sijui nianzie wapi ila kwa kweli kumpata a man of your dream ni bahati, basi na mimi katika pitapita zangu zote huko nilipotoka nimeishia kuumia bado sijampata wa sifa na vigezo vyangu na nikampenda na yeye anipende, japo wengi wanatangaza nia, ndio maana nimeamua nijitose hapa nibahatishe huwezi jua, Niko serious and specific kidogo mtanisamehe kwa hilo jamani kipenda roho hula nyama mbichi

I
11. Anayejua kudeka na kudekeza




Walio interested na wanavigezo waniPM, maswali ya wenye vigezo tu ndio yatajibiwa, criticism is allowed lakini taratiiiibu jamani mhhh!! Watajibiwa wenye vigezo visivyopungua 80% tu. Asanteni na poleni kwa kuwachosha na maelezo marefu.
:peep:

If you are serious at all.....kwenye blue....unatafuta maumivu mapya......

Mie vigezo vyooote ninavyo isipokuwa kwenye RED......may be sijui maana ya kubembeleza lakini nipo strict hadi sometimes najihurumia....
 
Una watoto wawili, huoni kama umeshachoka kinyama?, maana kama ni utamu watu walishanyonya wote, hebu dhibitisha hapa huyo unaemtafuta kukuoa atafaidi nini hasa kutoka kwako?. Lakini pia wewe kwa sasa ni used already, kwa masharti kibaooooo kama hayo nani wa kupoteza muda na wewe?, labda makenge tu ndo wanaoweza kuoa mwanamke aliyezaa tayari.
.Borro he! he! he! we kaka umetumwa? mbona una harsh language hivyo? kama we huwezi kutumia used, wapo wenzio wenye utu tena wanakuzidi kila idara ambao they realy adore used! utakuwa ni mtu very low with no manners kuweza kumtamkia mwanamke hivi, hebu kajifunze kwanza! pathetic
 
Ungeweka picha yako ingependeza sana. I qualify by 89%, according to your writings.
 
Nimetimiza vigezo vyooooote, ila mi ni mfuasi wa MUAMSHO. Sasa sijui unaniambiaje hapo destiny1
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tatizo liko wapi kwa yy kuelezea suala lake..hata humu mbona wanapatikana tu.

Mwanaume anapatikana sokoni? You can't be serious. Ukimwambia mtu unataka mtu mnyenyekevu nini atafanya zaidi ya kuigiza unyenyekevu?

Mambo ya mitandao haya mtakuja kulia one day. Unampata mwenza kupitia humu, halafu unakuja kugundua ana mahusiano na wasanii wenzake humu humu na kwa kuwa ni mchezo, hata kama alidhamiria kutulia siku pakitokea tatizo dogo tu, tayari yeye atakurupuka kuja kutafuta kitulizo humu.

Mapenzi sio mchezo huu mnaocheza hapa, sijui ni umri au balehe zinawasumbua!
 
Una watoto wawili, huoni kama umeshachoka kinyama?, maana kama ni utamu watu walishanyonya wote, hebu dhibitisha hapa huyo unaemtafuta kukuoa atafaidi nini hasa kutoka kwako?. Lakini pia wewe kwa sasa ni used already, kwa masharti kibaooooo kama hayo nani wa kupoteza muda na wewe?, labda makenge tu ndo wanaoweza kuoa mwanamke aliyezaa tayari.

Bora waliozalia chooni eeee.....ungejuwa!!
 
The bible that you are reffering to, inaruhusu kucritisize watu?? you dont know me and you are definetely not the one im looking for, ninayemtafuta atanielewa, its obvious this is not meant for you. na nakushangaa umefuata nini jukwaa hili?? if you can just excuse me!

You are criticizing yourself. Kuja hapa kujinadi kwa mwanamke ni dhalili kwangu au kwako? HAWAKUTAKI, si ndio?

Kunishangaa kwako kuwa nimefuata nini kwenye jukwaa kutaishia kwa mimi kukuelewesha kuwa ni jukwaa huru. This is not meant for me or for Christians?

Ona ulivyokuwa mkali, sina haja ya kuuliza kwa nini uliyezaa naye hakukuoa, sababu zipo wazi. Kila la heri mama, weka tangazo na gazetini
 
ahsante ila na mimi utabidi unipe window period ya kuacha fegi
 
.Borro he! he! he! we kaka umetumwa? mbona una harsh language hivyo? kama we huwezi kutumia used, wapo wenzio wenye utu tena wanakuzidi kila idara ambao they realy adore used! utakuwa ni mtu very low with no manners kuweza kumtamkia mwanamke hivi, hebu kajifunze kwanza! pathetic

Sio wenye UTU, wenye UBUTU. Mwanaume anayekimbilia WAJANE si utu unaomuongoza bali ni UBUTU wa kukwea vitoto brand new. Kujinadi mitandaoni ni more harsh than these Borro words

Pathetic fools are those who can not afford brand new items and rush for the used ones with a lot of excuses, UTU among those


And, NUNGAYEMBEs are those who ...... without telling us how they failed in their previous relationships.

Wekeni picha zenu tuchague, hata mimi nataka kipoozeo, you know sometimes classic vehicles tends to be more classy than royal palanquins
 
Last edited by a moderator:
good*will*hunting... unfortunately tunao-meet vigezo tayari tumeshakuwa committed. Truly, u have a challenge ahead of u.. manake wanaume wengi wa umri huo tunakuwa tayari tumeshawekeza --either kwa ndoa, au uchumba....
unless ukutane na akina "bado nipo nipo tu" kama anavyochana Mwana FA kwenye mistari yake. all in all, i wishi u the best of luck
 
Im looking for a man
1.With a heart to love truly, respect and care for the person he loves
2.The one with kid/kids and divorced/living alone atapewa kipaumbele
3.Christian
4.Don’t care about the skin color, just good looking hahah, Should be confident about his look
5.not less than 33yrs not more than 40yrs
6.Should be employed or own business or both, a person with big dreams za maendeleo
7.Awe Faithful and straight asiwe muongo
8.Not less than 1.65M height not more than 1.85 (though not very important)
9.you could be drinking ocassionally or not ila usiwe Mlevi
10. Education not less than a diploma but with sharp mind
11. Anayejua kudeka na kudekeza

:peep:

I hate this hakyanani., nani kawaambia Mapenzi(matured) ipo kwenye miaka ya 30s? Kila siku ni above 30, so how about sisi tulio under hiyo age? Aaaaaaaaaaaaaaarrrrrrrrrrrrrrrggggg, mnabore sana asee, na nakuombea asipatikane wa hiyo limit uliyoweka.., Khaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom