Are you a man aged 33-40??

Hutapata tena mwanaume kama mimi. Vitendo vyako vya uzinzi vitakutafuna mama B. Ulifikiri kujificha na majina ya bandia na kuja mtandaoni utapoteza watu maboya?? You broke our family, you will never be satisfied by Jesus' name!!
 
Kumekucha!
 
Sio wenye UTU, wenye UBUTU. Mwanaume anayekimbilia WAJANE si utu unaomuongoza bali ni UBUTU wa kukwea vitoto brand new. Kujinadi mitandaoni ni more harsh than these Borro words

Pathetic fools are those who can not afford brand new items and rush for the used ones with a lot of excuses, UTU among those

And, NUNGAYEMBEs are those who ...... without telling us how they failed in their previous relationships.

Wekeni picha zenu tuchague, hata mimi nataka kipoozeo, you know sometimes classic vehicles tends to be more classy than royal palanquins
picha anayo mume wangu moyoni mwake, sihitaji kuweka picha hapa, nimemgombeza huyo borro kwa maneno aliyomtamkia huyo dada, sijui we ni mesenja wake kakutuma kumjibia? au ni walewale?? nways inaonyesha wazi how u are na siwezi argue ww, ngoja aje mwenye thread muendelee, kwangu mimi tufanye umeshinda! realy pathetic indeed!
 
Hutapata tena mwanaume kama mimi. Vitendo vyako vya uzinzi vitakutafuna mama B. Ulifikiri kujificha na majina ya bandia na kuja mtandaoni utapoteza watu maboya?? You broke our family, you will never be satisfied by Jesus' name!!
Pokola, mmmmmhhhhhhhhhhh! speechless (in michael jacksons voice)
 
Last edited by a moderator:
Sasa ni nini "kilichokutabasamisha"? Hebu taja listi ya timu ya harusi bana. Huyu destiny1 ananifanya mimi Kibabu wakati bado nalipa kabisa. Au labda nilimchuja kuleeeeee, sasa amekuja kivingine . . . . haaaa haaa

Si nimefurahia kupewa u best lady a.k.a matron wa bi harusi? Erotica Kaunga Amyner na Mwali watakuwa maids. Ila tutawaomba Mtambuzi na Bishanga watoe neno kwa maharusi wakati Mbuzi Mzee na Boflo watakuwa wapiga picha siku hiyo. Wengine waongezee timu ikamilike.
 
Last edited by a moderator:
Hutapata tena mwanaume kama mimi. Vitendo vyako vya uzinzi vitakutafuna mama B. Ulifikiri kujificha na majina ya bandia na kuja mtandaoni utapoteza watu maboya?? You broke our family, you will never be satisfied by Jesus' name!!

Baba watoto, Pokola embu funguka, tusije tukaingia au tukaingiza watu mkenge humu JF. destiny1 a.k.a Mama B, njoo ufunguke nawe hapa, kumbe ulivunja ndo kwa vitendo vyako vya Uzinzi?
 
Mmmh Erotica hatakubali. Anataka yeye awe bi harusi halafu sifa zake hajatoa. Can you imagine jamani. Hakawii kukuchenjia mkiwa honeymoon ukigudua kuwa ni Mkaka mwenzako . . . kwi kwiiii kwiii . . . .

Bi harusi mtarajiwe na aje hapa tuhangaike naye . . . Ila ndo hivyo hata Kitchen party haitaji . . lol
 
Erotica ni mtata sana ila ningefurahi pia kama angekuwa bi harusi.
 
Last edited by a moderator:
Hutapata tena mwanaume kama mimi. Vitendo vyako vya uzinzi vitakutafuna mama B. Ulifikiri kujificha na majina ya bandia na kuja mtandaoni utapoteza watu maboya?? You broke our family, you will never be satisfied by Jesus' name!!
hahaha pole kaka yangu, mama b mbaya! alikufanyaje??
 
picha anayo mume wangu moyoni mwake, sihitaji kuweka picha hapa, nimemgombeza huyo borro kwa maneno aliyomtamkia huyo dada, sijui we ni mesenja wake kakutuma kumjibia? au ni walewale?? nways inaonyesha wazi how u are na siwezi argue ww, ngoja aje mwenye thread muendelee, kwangu mimi tufanye umeshinda! realy pathetic indeed!
mm mwenyewe nimemuacha hana akili wala hajitambui
 
Baba watoto, Pokola embu funguka, tusije tukaingia au tukaingiza watu mkenge humu JF. destiny1 a.k.a Mama B, njoo ufunguke nawe hapa, kumbe ulivunja ndo kwa vitendo vyako vya Uzinzi?
Baba B katendwaje!!! maskinii! Pole karibu kwenye chama usimgande mama B njoo PM
 
Wewe endelea tu kupotezea watu maboya, siwezi kuku-PM, I know u know what I mean. Wewe ni mwanamke mzinzi, always looking for new pipes. Sasa nakwambia nikirudi Tz nabeba watoto wangu, uendelee na matabia zako chafu. Uliniaibisha sana my friend. Na nitapinga mbele ya umma wewe kuolewa kihalali, u know ndoa yetu haikuvunjika kwa talaka, huh?

Coming for you just wait.
 
Pole unaonekana mwenye hasi ra ya kutendwa, mpigie mama b umwambie mimi sio mama b. pole sana baba b
 
Wewe endelea tu kupotezea watu maboya, siwezi kuku-PM, I know u know what I mean. Wewe ni mwanamke mzinzi, always looking for new pipes. Sasa nakwambia nikirudi Tz nabeba watoto wangu, uendelee na matabia zako chafu. Uliniaibisha sana my friend. Na nitapinga mbele ya umma wewe kuolewa kihalali, u know ndoa yetu haikuvunjika kwa talaka, huh?

Coming for you just wait.
Pokola is this serious??? au unatania??? jamani msijeingiza watu matatizoni, nyie wakaka humu ndani haya, mi nipo bench natazama tu sasa! lakini na wewe Pokola nje muda wote huo unafanyaje jamani, sasa ye huduma zingine apate wapi??? nways nisiingilie. mmhh ila jei efu inafundisha sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom