Msakaa Jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,390
- 7,838
Ndio mkuu, lakini ya vipindi sana.Yeye ni bwana shamba hua tunaonana nikirudi rikizo ,kutoka chuoMkuu nawe pia alikuuliza swali kama hilo? Kwa sasa bado una mawasiliano nae ?
Ndio mkuu, lakini ya vipindi sana.Yeye ni bwana shamba hua tunaonana nikirudi rikizo ,kutoka chuoMkuu nawe pia alikuuliza swali kama hilo? Kwa sasa bado una mawasiliano nae ?
Ndo hivyo Mkuu hata academic advisor wengi vyuoni huwa kwenye system na inakua rahisi sana wao kukufatia kila hatua .Binafsi naiona ni kazi ngumu sanaNdio mkuu, lakini ya vipindi sana.Yeye ni bwana shamba hua tunaonana nikirudi rikizo ,kutoka chuo
Kweli mkuu, hiyo mishe mbovu sana mimi mwenyewe siwezi kukushauri kujiunga, lakini siunakua unalitumikia taifa lako kizalendo zaidi? nahakuna uzalendo uliotukuka kama huo wa mtu kua mlinzi wa taifa lake mkuu.Ndo hivyo Mkuu hata academic advisor wengi vyuoni huwa kwenye system na inakua rahisi sana wao kukufatia kila hatua .Binafsi naiona ni kazi ngumu sana
Ni kweli tutatumikia Kwa njia nyingine Mkuu.Kweli mkuu, hiyo mishe mbovu sana mimi mwenyewe siwezi kukushauri kujiunga, lakini siunakua unalitumikia taifa lako kizalendo zaidi? nahakuna uzalendo uliotukuka kama huo wa mtu kua mlinzi wa taifa lake mkuu.
Ni kweli tutatumikia Kwa njia nyingine Mkuu.
mbona hata hawa walinzi wetu, wanafanya na hiyo njia nyingine mkuuLove you! watu wengine mna mvuto naturally hata kama mpo nyuma ya keyboard na ID/Avatar fake.Good
Love you! watu wengine mna mvuto naturally hata kama mpo nyuma ya keyboard na ID/Avatar fake.
nikupe namba yake mkuuhahahaaa,nitashukuru na kufurahi pia...nimejikuta nimemuelewa ghafla huyu mdada!![]()
![]()
nikupe namba yake mkuu
kwa kweli, huyu dada kajaaliwa uzuri mkuuhahahaaa,nitashukuru na kufurahi pia...nimejikuta nimemuelewa ghafla huyu mdada!
BetterGOOD
Huyo Dada kauzu mbaya, unaweza kufa huku anakuangaliangoja tuone Beautiful Nkosazana kama ata agree![]()
Nimejionea mbabaHuyo Dada kauzu mbaya, unaweza kufa huku anakuangalia
, maana katupita apo juu ka comment good kwa mara nyingine

Yuko vizuri kwa kweli, ni muongeaji ukimbahatisha mkuu,Nimejionea mbaba, maana katupita apo juu ka comment good kwa mara nyingine
Kauzu binti dagaa![]()
![]()
![]()
dada wa watu mniache jamani eeeeh. changieni mada badala ya kuni discuss mimiYuko vizuri kwa kweli, ni muongeaji ukimbahatisha mkuu,
Gooddada wa watu mniache jamani eeeeh. changieni mada badala ya kuni discuss mimi

Ni kipaji cha kuzaliwaSpecial thread for discussing espionage business and other closely related issues:
Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.
Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?
Ninawasilisha mjadala.
Naomba kuwasilisha
dada wa watu mniache jamani eeeeh. changieni mada badala ya kuni discuss mimi
Nimejionea mbaba![]()
okay sawaNi kipaji cha kuzaliwa