Are spies made or born?

Asante sana kwa mleta maada kuna mtu wangu wa karibu ninemchunguza tangu huu mwaka uanze na ninaona ana uelekeo na hawa watu ni mtu wa karibu sana yaani (mimi ni damu yake) ni viashiria gani nitatumia kumjua.

Nataka nipate uhakika tu kama kweli anaifanya hii kazi nikiridhika nitaacha aendelee na mambo yake ila sitaki ajue kama namchunguza.
Curiosity ilimuua paka.. Kemea hilo pepo la uchunguzi...Tatizo naloliona ni moja ni kwamba wewe huna training ya surveillance sasa unaweza ukaingia kwenye mdomo wa mamba katika kumchunguza ndugu yako. Ndugu yako anaweza akawa anafuatiliwa mienendo yake. Sasa na wewe kujiingiza katika kumchunguza unaweza ukaonekana kwenye macho ya wanafuatilia miendendo ya ndugu yako na yakakukuta makubwa huku ndugu yako asipate kujua.. Kuwa makini itakula kwako..:D:D:D. Ili uweze kumchunguza ndugu yako unapaswa na wewe uwe na uwezo wa kugundua watu wengine wanaofuatilia miendendo ya ndugu yako, kitu ambacho si rahisi kiivyoo
 
Ninajua ni hatari ila nitajaribu na sidhani kama kuna sehemu nitateleza katika hili wakuu.
 
de'levis Freelancer
wakuu vp kuhusu air hostesses pamoja na members of diplomatic community. Wahudumu wa ndege wanaweza kuwa spies/informers pamoja na watumishi wa ujumbe wa kidiplomasia?
Huge matter

Diplomatically

Simplicity is needed

Watch dog are many if your among and many are used even without knowing themselves
 
kwenye biblia kuna mstari mmoja unasema ..si vizur chakula cha watoto kuwapa mbwa..jaribu kupata mda uutafakar kama unaamin katika maandiko..
Haimo kwenye biblia
Lkn lipo andiko linaloelekea na hilo

Lkn hapa umeeleweka japo kwa kuisingizia biblia
 
uzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...
na pia kuna kaz ya ziada mara nitokapo bustanini huwa naifanya ya kutengeneza mishumaa..hii nayo inaninyima mda mwingi wa kuingia huku...nadhan baadae nitatenga mda wa kuwa naingia huku..
Bustan zinatesa sana kwan uangalizi wake unahitajika sana, tumpe muda
Lkn kazi hiyo ya mishumaa nayo inatumikisha sana maana kama ukitumia njia ya asili ya kutumia mabaki ya mishumaa ya awali ni risk zaid kwa uji uliochemshwa ukikumwagikia ni shida.
Lkn pia mbinu hii ya kisasa nayo ni nyepes lkn kwa wepes wake inakuhitaji utengeneze mingi na yenye mapambo mazur au rangi tofauti japo mishumaa yenyewe haina faida binafsi

Pole mkuu mi nakuhurumia sana lkn ss pia fanya kama ni sehemu ya wateja wa miche yako au kiti na mishumaa yako.

Usisahau kuoga na chukula cha tumbo na mwili
 
Some of the activities they conduct could be some form of espionage.. But within diplomatic community there are those who are spies by professional like being there at their diplomatic post is solely for espionage mission. But the rest of the diplomat could be also conducting espionage in an implicit fashion,because some of the reports they compile could be interpreted as doing espionage indirectly. For example those cables that are wired by American diplomats are one of the ways of gathering intelligence be it political or economical..
Mubashara
Thats is why principles and regulations that abide them are vs
 
Ninajua ni hatari ila nitajaribu na sidhani kama kuna sehemu nitateleza katika hili wakuu.
They know you if is you among you
What you will act they help them to reach the destination very easier
Before taking action talk to him
Kama akikataa atakuandalia mazingira ya kutojua hata ukichunguza na atajua namna ya kuenenda na akuridhishe na usiwe sehemu ya infomer kwa watu wengine
Usipomwambia pia atajua lkn hataweza fanya uamuz mgumu juu yako au mahusiano yenu
 
Watu kwenye asili ya asia hususani wahindi waliojaa kariakoo na posta sana lifestyle ya kwao tofauti kabisa na hii ya sisi weusi. They have their own schools, hospitals even residential zones.

How do we spy on them? Freelancer The bold Infantry Soldier Ramark
Turn one of their own against them and develop assets. Then the asset could do whatever you are asking them to do. Bugging, collecting information, etc. Kwa wahindi blackmail inaweza fanya kazi vizuri maana wana kona kona nyingi i.e ukwepaji kodi, biashara za magendo. Zote hizi zinafungua avenue ya blackmail. Sasa ukikamata weakest link ya ku black mail then you may have assets in place..
 
Watu kwenye asili ya asia hususani wahindi waliojaa kariakoo na posta sana lifestyle ya kwao tofauti kabisa na hii ya sisi weusi. They have their own schools, hospitals even residential zones.

How do we spy on them? Freelancer The bold Infantry Soldier Ramark
Not only house maids but also they employ tanganyikan in their schools, hospital na maduka au migahawa Mimi make wangu ananipa nyingi yy ni mpishi hotel moja hapa mjin ya wahindi
Pia my tribal men working in Indian international school iliyopo pale dar

Pia wanachangamana na sisi japo wanalimits za kuzungumza but how they react and live amongst ni taarifa pia

Nipe kazi nikufanyie
 
hakuna spy anayeruhusiwa kuandika mada za espionage kwenye mitandao ya kijamii kama jamiiforums. Huyu mleta mada ni mtoto wa secondary inaonekana ndio anajifunza udadisi wa taaluma za watu wazima
Mkuu Acha kum discorage jamaa bna Ngoja atuandikie na Wengine tujifunze Mbona Wana Usalama Wa idara za Huko Dunia ya kwanza wanaandika mpaka Vitabu juu ya mambo haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom