Are spies made or born?

Freelancer Mr Q de'levis Yericko Nyerere Matola
Espionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.

Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
sisi ni wadogo zako kwa hiyo...:D:D:D
 
hiyo yote ni common sense..:D:D:D:D
 
lakini ndicho kinachofanyika in actual senses
Ona mfano huyu mama SA akizungumzia majukumu ya intelijensia ya South Africa ambayo basically inteligensia zote dunia hufanya. Hayatofautiani na unachokisema ndo maana nikasema hiyo ni common knowledge.

Thread haizungumzii kazi za intelligensia bali inazungumzia ma spy ambao ni very good instruments kwa ajili ya ukusanyaji wa taarifa na uchambuzi wake. Thread inasema kwamba are spies being made or born? Aliyeuliza ili swali pengine alikuwa anajaribu kuuona uwezo wa ma spy kiakili ni exceptional hasa wa kutumia sense ya sita ambayo si kila mtu anajua jinsi ya kuitumia. Whether mwana usalama ni analyst au field agent kuna akili kubwa inatumika. Kwa hiyo mtazamo wako unadhani spies are being made au wanakuwa na natural ability fulani ambayo recruiters wanai spot kama inaweza kuwa na manufaa kwenye ulimwengu huu na wao kisha kukinoa hicho kipaji kwa matumizi ya ujasusi?..Tudiscuss hilo swali...:D:D:D
 
Wat if mleta uzi ndio kazi yako?,na hapa wakusanya info then uwaclishe report?
hakuna spy anayeruhusiwa kuandika mada za espionage kwenye mitandao ya kijamii kama jamiiforums. Huyu mleta mada ni mtoto wa secondary inaonekana ndio anajifunza udadisi wa taaluma za watu wazima
 
Special thread for discussing espionage business and other closely related issues:

Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.

Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?

Ninawasilisha mjadala.

Naomba kuwasilisha
wewe unayejiita Infantry Soldier Kuna tofauti gani kati ya espionage na intelligence gathering activities?
 
Freelancer Mr Q de'levis Yericko Nyerere Matola
Espionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.

Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
Kumbe unacopy na kupaste? Same reply kwenye post zaidi ya tatu bila kubadilisha hata nukta!!
 
Nime copy na ku paste kwenye thread zingine ili wanaopenda kujifunza basics nao wapate nafasi ya kusoma na kujifunza kama mimi. Knowledge sharing si jambo baya
 
Freelancer Mr Q de'levis Yericko Nyerere Matola
Espionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.

Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
umeelezea kidogo sana dadaa yangu. Ongezea vinyama nyama kidogo ili na sisi tunaojifunza tupate ufahamu wala mwanga kidogo
 
Asante sana kwa mleta maada kuna mtu wangu wa karibu ninemchunguza tangu huu mwaka uanze na ninaona ana uelekeo na hawa watu ni mtu wa karibu sana yaani (mimi ni damu yake) ni viashiria gani nitatumia kumjua.

Nataka nipate uhakika tu kama kweli anaifanya hii kazi nikiridhika nitaacha aendelee na mambo yake ila sitaki ajue kama namchunguza.
 
They have special training on how to fool their opponents. Any unauthorized or uncleared person kwao ni opponent. Hivyo kuacha loophole ya wewe kuweza kumnusa na kumgundua majukumu yake hilo ni kosa kubwa sana. Endapo itagundulika ameanza mienendo itakayopelekea cover yake kuwa blown up anaweza badilishiwa majukumu ama kupumzishwa moja kwa moja kulingana na uzito wa kosa husika
Freelancer de'levis
 
Special thread for discussing espionage business and other closely related issues:

Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.

Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?

Ninawasilisha mjadala.

Naomba kuwasilisha
Duh hao jamaa sijui huwa wana chukua ukiwa na umri gan
 
They have special training on how to fool their opponents. Any unauthorized or uncleared person kwao ni opponent. Hivyo kuacha loophole ya wewe kuweza kumnusa na kumgundua majukumu yake hilo ni kosa kubwa sana. Endapo itagundulika ameanza mienendo itakayopelekea cover yake kuwa blown up anaweza badilishiwa majukumu ama kupumzishwa moja kwa moja kulingana na uzito wa kosa husika
Freelancer de'levis
Msomeni The bold nimeipenda makala yake :D:D:D:D

Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try..
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom