Are Our Inflation Numbers Fabricated? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Are Our Inflation Numbers Fabricated?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tartoo, Jul 2, 2010.

 1. tartoo

  tartoo Senior Member

  #1
  Jul 2, 2010
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nimebakia kucheka tu.. nimewahi kudokeza hapa kuwa Tanzanian economy is an "artifical economy" watu hawajaelewa kwanini... mtu hata asiye mchumi anaweza kuona kutokupatana (contradiction) kati ya mahesabu mbalimbali. Ili CCM inachotaka ndicho inachopata.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,194
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji,

  I said something along the same lines. Huwezi kuwa na sound economic data kama nchi haina utamaduni wa record keeping.

  Hata hizi bajeti ni michezo ya kuigiza. We nchi some sectors informal economy ni kubwa kuliko formal economy utategemeaje kuwa na sound economic indicators? We nchi huna a standard price for a basket of goods, how can you measure inflation?

  Hata ukiwasikiliza mawaziri wa fedha wetu, from Daniel Yona to Mustapha Mkullo, unaona kabisa wanacheza mchezo wa kuigiza na hata wao wenyewe hawaziamini hizi bajeti zetu.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  2nd July 2010

  [​IMG]
  Benki Kuu ya Tanzania

  Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema ina akiba ya fedha za kigeni kwa ajili ya kulipia huduma na mauzo ya bidhaa inayotosheleza kwa muda wa miezi mitano.

  Kauli hiyo ya BoT ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na mtaalam wa masuala ya uchumi na sera kutoka benki hiyo, Peter Stanslaus kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere.

  Kadhalika, alisema uchumi wa taifa unatarajia kukua kwa asilimia 7.0 kwa mwaka huu 2010.
  Kwa sasa uchumi unakaua kwa asilimia 6.2 na kwamba benki hiyo inachukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha malengo hayo yanatimia.

  Alisema akiba hiyo ni kubwa ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo BoT ilikuwa inakuwa na fedha za kutosheleza miezi kati ya miwili hadi mitatu pekee.

  Aliongeza kuwa kuwepo kwa akiba ya fedha hizo kutasaidia kupunguza mfumko wa bei ambao umelikumba taifa kwa hivi sasa.

  Aidha Stanslaus alisema BoT inatarajia kudhibiti mikopo inayotolewa na mabenki mbalimbali hapa nchini ikiwa ni hatua mojawapo ya kudhibiti mfumuko wa bei kwa kuwa fedha nyingi zikiwa katika mzunguko zinasababisha hali hiyo.

  BoT inashiriki maonyesho ya biashara ambapo kupitia nafasi hiyo wananchi watapata fursa ya kuuliza maswali na kupata majibu ya papo kwa hapo yanayohusiana na benki hiyo.

  Hata hivyo, akiwasilisha mwelekeo wa uchumi kwa mwaka ujao wa fedha mapema mwezi uliopita, Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, alisema akiba ya fedha za kigeni iliongezeka kutoka Dola za Marekani milioni 2,048.4 mwaka 2005, sawa na uwezo wa uagizaji wa bidhaa na huduma kwa miezi 4.8 na kufikia Dola za Marekani milioni 3,551.3 mwaka 2009, sawa na uwezo wa uagizaji wa bidhaa na huduma kwa miezi 5.7.


  Chanzo: Nipashe


  My Take:
  Kuna mtu anawadanganya!
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kiranga... tatizo la hawa jamaa ni kuwa wanajua record keeping vizuri tu tena kuna wanakusanya vizuri tu; tatizo ni kuwa hizo takwimu wanazokusanya hazina msingi katika ukweli. Wewe tembelea tovuti yao ya Welcome to the NBS Website.

  Takwimu zao zaidi ni kwa ajili ya consumption ya watu wa nje ambao wanaangalia makaratasi na kuyasoma na kuamini mahitimisho yake.
   
 6. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hawa jamaa hawatofautiani na wanasiasa kabisa, kauli zao nyingi ni tata na hazireflect hali halisi hata kidogo,
   
 7. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mzee mwanakijiji inawezekana wako sahihi au inawezekana wako sio sahihi but unajua tatizo la nchi yetu bwana ni wanasiasa.

  Tukiomba data za figure wanazozisema hatupewi sasa binafsi nakuwa na shaka na statement zao. Kama unakumbuka nyuma nilisema kuwa ile statement ya mkulo ya kuwa uchumi utakuwa by 7.5 ilikuwa sio sahihi kwa factors mbali mbali na figure zangu zikawa sawa na IMF kuwa uchumi wetu utakuwa 4.5%. Sasa hivi wanasema uchumi utakuwa by 6.2%. Mie nachosema either 7.5% or 6.0% or 8.0% la msingi tunaomba data!!!
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  tatizo ni kuwa data wanazo na watakupa.. kwa data tu hawana tatizo believe me..! Its as if they have a National Data Mill somewhere..
   
 9. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kazi ipo
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu data wanazo but do you really trust them???

  i was in one meeting halafu mkuu wa kitengo akatoa data ambazo ni ancient!!!!

  can you imagine hata leo FUmbuka ame-share ile budget ya 2010-2011 ambapo waziri na website ya serikali inasema 11.6 wakati rais amesema 11.1 kwenye hotuba yake ya kisiasa?

  ndinalyooo
   
 11. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Data za economic activities nchini zipo? Siamini mfano wanasema Telecomunication imekuwa by more than single digits but ukiuliza how unapata maswali mengi mfano kampuni za simu Tanzania zinalalamika kuwa hazipati faida due to higher tax wanazolipa wengine wakiomba extention ya tax heaven sasa unajiuliza if the sector is growing how come some mobile companies claimed that they are making a loss? Unaweza kugrow kweli but ukawa ukipata hasara sidhani!!!
   
 12. minda

  minda JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  time will tell. lets just wait and see.
   
 13. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mimi ninavyofahamu mtu unaweza kutumia data kuonesha hali vile unavyotaka wewe, sasa tatizo tulilonalo na BOT ni kwamba kweli data wanazo na wanaweza kukupa lakini je hizo data ni sahihi? Swali langu lina maana kuwa je hizo data zinaonesha hali halisi ya uchumi wa nchi unavyokua? Ni wale wale huyu Ndulu hana tofauti na Balali!! Many people use data to cheat ,if you do not believe me ask the accuntants and BOT is no better!!
   
Loading...