are famous Tanzania Entrepreneurs born or made? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

are famous Tanzania Entrepreneurs born or made?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHASHA FARMING, Dec 3, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  WAKUU HILI SWALA LIMEKUWA KISUMBUA VICHWA VYA WATU WENGI SANA. KWA KUJIKITA HUKU KWETU JAIBU KUCHANGIA KWA UNAVYO WAONA WAJASIRIMALI WETU,

  RELATE NA HIZI FACTOR HAPA CHINI

  [h=3]8 Common Characteristics Possessed by Entrepreneurs;[/h]
  1. Dream – this is where it usually starts, a sudden realisation that things could be done differently, a questioning of the status quo.
   [​IMG]
   What goes on in the ever busy mind of an Entrepreneur?

  2. Vision – then the dream gradually becomes a vision that the entrepreneur sees at all times.
  3. Goal – she sets before her a goal,with an ultimate aim of attaining them.
  4. Confidence – this makes her very confident in herself, dreams and abilities.
  5. Risk Taking – she goes for it, against all odds, fully aware of the consequences.
  6. Positive Thinking – she remains positive despite the initial results
  7. Persistent – what follows is persistent, consistent action without which every other characteristics is meaningless.
  8. Leadership – most entrepreneurs usually end up being leaders in their sphere even though it was never part of the plan, it just happens and they usually posses a cool ability to influence others/followers.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  ninavyo fahamu

  - Born entrepreneurs ni wale wanao kuwa wajasiriamali kwa kufuatiza kizazi chao mfano,
  1. kurith.
  2. kurith mbinu za biashara kutoka kwa watu mbalimbali friends, relative na kazalika

  - Made, hawa ni wale wanao kuwa wajasiriamali kupitia elimu yao, waliingia darasani wakasoma na mwishowe wakaja kuwa wajasiriamali

  TATIZO HUKU KWETU TUKIFUATA PRINCIPAL ZA UJASIRIAMALI UTAONA KALIBIA WOTE NI WAFANYA BIASHARA NA C WAJASIRIAMALI.

  MTU KAMA BAGHARESA YULE ANAWEZA KUWA MOJA WA REAL ENTREPRENEURS HAPA TZ NA NI BORN ENTREPRENEURS

  WATU KAMA BILL WALE NDO MADE ENTREPRENEURS, NA INDIA NI MOJA YA NCHI YENYE BORN ENTREPRENEURS WENG SANA.
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ngoja nifunguke kidogo. Kwa mazingira ya kitanzania, hali halisi humfanya mtu kuwa mjasiriamali. Mazingira mengi hayaruhusu mtu kuajiriwa japo mawazo ya wengi ni kuajiriwa. Wengi wanaacha shule, wengi hawajasoma, wengi wamesoma lakini hakuna ajira rasmi. Ni mtanzania gani anasoma master degree kwa mfano ambaye ana lengo la kujiajiri? Hakuna. Usomi in tz means kuajiriwa sehemu ambayo inalipa vizuri. Usomi kwetu si ujasiriamali. Ujasiriamali kwetu ni ajali ya kiuchumi tu. Wengi waliojiajiri leo hii ukiwapa ajira itakayowalipa sawa na kipato cha kujiajiri wataacha kujiajiri.

  Sasa kujibu swali lako, kwanza wajasiriamali wa kitanzania ni tofauti na wa maeneo mengine. Hawa wajasiriamali wanatengenezwa, si na miundombinu iliyopo bali msukumo duni wa kiuchumi. Kuwa mama lishe, fundi magari, kinyozi, script writer, kuanzisha baa, cafe, blogger, kufungua kiwanda fulani, kampuni; yote haya hayakuwa ni wazo la kwanza la huyo mjasiriamali. Iilitokea alipopata mbinyo wa kimaisha akafungua the sixth sense. Yule mjasiriamali wa kuzaliwa katokana na mfumo rasmi toka familia.
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  - KUHUSU SWALA LA KIUCHUMI, NI KWELI KABISA KWAMBA NI MATATIZO HAYO HAYO AMBAYO HUWA SUKUMA HATA WAJASIRIAMALI WA NJE WAWEZE KUANZISHA BIASHARA.
  - NA MJASIRIAMALI YEYOTE LAZIMA ATUMIA MATATIZO YA KIUCHUMI YALIYOPO ILI KUJA NA AIDIA NZURI, KWA MAJASIRIAMALI HAKUNA KINACHO SHINDIKANA, NA UKISIKIA MTU ANAKUAMBIA AMESHINDWA KUANZISHA BIASHARA KWA SABABU YA EITHER.
  HAKUNA MAJI
  BARABARA MBAYA
  HUYU C MJASIRIAMALI, MJASIRIAMLI HATA KAMA SEHEMU HAMNA MAJI ATAKUJA NA IDIA YA AFANYEJE, KWANI MWANZILISHI WA MFUMO WA KUMWAGILIA KWA NJIA YA MATONE ILIKUWAJE? WATU WALIKUWA WANAKATAA KULIMA JANGWANI KISA HAKUNA MAJI LAKINI YEYE AKABUNI MFUMO WAKUTUMIA NDOO MOJA YA MAJI KWA HEKARI MOJA


  - NA NI KWAMBIE MDA SI MWINGI MA wasomi WENGI WATAKUWA WAJASIRIAMALI WAPENDE WASIPENDE KWA SABABU MIFUMO YA KIUCHUMI IMEBADILIKA.

  - KWENYE MIAKA YA 90 HAKUNA GRADUATE HATA MOJA ALIYE KUWA HATA NADILIKI KUWAZA KUANZISHA KAMPUNI KWA SABABU AJIRA ZILIKUWEPO, LEO HII VYUONI WATU WANAWAZA JINSI WATAKAVYO JIAJILI MAKE TIYALI WAISHA JUA KWAMBA MFUMO UMEBADILIKO SO ILI WAENDANE NA MAZINGIRA YA SASA LAZIMA WAJIAJILI.

  - NAPINGANA NA WEWE HAPA.
  - TANZANIA KUNA BORN ENTREPRENERS TENA NDO WENGI KULIKO MADE. TUACHANE NA MAMA LISHE NA WASHONA VIATU NA WAMACHINGA MAKE WALE C WAJASILIAMARI WALE NI WAFANYA BIASHARA, NA SI ZUNGUMZII WATU KAMA WALE.

  - NAZUNGUMZIA WATU KAMA WAKINA MENGI, BHAHARESA, MTU KAMA MMILIKI WA BABANANA INVESTMENT COMPANY.
  1. MTU KAMA BAHARESA ANAWEZA KUWA BORN ENTREPRENEUR MAKE SI DHANI KAMA ALIENDA SHULE KUPATA UTALAMU.
  2. NA MTU KAMA MKURUGENZI WA BANANA INVESTMENT WATENGENEZAJI WA POMBE AINA YA BANANA YULE NI MADE ENTREPRENERS,

  - VILE VILE WATU KAMA WACHAGA WALE NAO NI BORN ENTREPRENEURS MAKE WENGI WAO WANA SPIRIT YA UJASILIMALI, HAWA WAMEKUWA WAKIANZISHA BIASHARA C KWA SABABU YA ELIMU YAO NO HAWA NI KWA SABABU JAMII INAYO WAZUNGUKA, NDUGU ZAO, MARAFIKI, MAJIRANI WENGI UNAKUTA NI WAJASIRIAMALI SO INABIDI NA YEYE ANAVYO KUWA ANASTIKI KWENYE UJASIRIAMALI

   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Nakushauri usome kitabu cha "Rich Dad poor dad" cha Robert Kiyosaki.
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  tupatie kidogo blurb ya kitabu inasemaje
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kuna matatizo ya aina mbili hapa. Tatizo katika jamii na tatizo binafsi. Watz wengi huingia katika ujasiriamali kutokana na matatizo binafsi-watapataje hela. Suala la kusema kuna tatizo katika jamii nilitafutie ufumbuzi hiyo nadra sana. Mfano tatizo ni nzi wamekuwa wengi. Nani kabuni namna ya kuwaangamiza? Hakuna. Ndio maana shughuli nyingi za wajasiriamali wetu zinafanana. Hata kama ubunifu upo, teknolojia hakuna.

  Pia mjasiriamali haanzii hewani. Hata mama lishe anaweza kuja miliki sheraton. Ndio maana bakhresa alianza na shoe shine. Sasa unapomtenga kinyozi unategemea nini?
   
 8. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  no body is body a hero, kuna nadhari nyingi ya namna individual anavyoweza kuwa mjasiliamali ambazo ni;
  psychological based perspective hii yenyewe inajikita kwamba mjasiliamali anazaliwa, ila kuna nadhari ningine inayojikita kkt socialogy based approach ambayo yenyewe inakariri yakwamba mjasiliamali hutengenezwa.

  katika concept ya psychology hii inazungumziwa kwamba sababu kubwa ya mtu kuwa mjasiliamali is a matter of individual and mostly in born qualities na kuna baadhi ya school of thought zinazoipamba hii concept kama, need of achievement model, locus of control, psychodynamic model, risk taking propensity, and well as innovation.

  katika social concept of entre penyewe kariri kwamba mjasiliamali hutengenezwa na jamii inayomzunguka na kuna nadhari mbalimbali ambazo zinatumika kuisherehesha hii concept kama, social marginality model, intergenearation inheritance of entreprise culture via role modelling, sme as a role model, social development model,

  model nyingine ni social background pamoja na suala la muktadha (environment)

  sasa ni ngumu kweli kusema kwamba hawa jamaa wa kiTz wametoka kwa kuzaliwa ama kutengenezwa isipokuwa unaweza kuisherehesha situation kwa kujaribu kutumia model zote.
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hizo nadharia inabidi ziongezwe kukidhi mazingira ya kijasiriamali ya kitanzania na kiafrika. Mtu ambaye labda ana elimu na kakosa ajira akaamua kujiajiri haingii kwenye dhana hizo mbili za kisaikolojia na sosholojia.
   
 10. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  MKUU NAZANI HILI LA KUINGIA ILI WAPATE KITU FULANI NI MOJA YA FACTOR ZINAZO MFANYA MTU KUSTART BIASHARA. MFANO.

  - kuongeza kipato
  - kupunguza risk
  - Independence
  -cimitment
  - compasation
  - New skill
  - Time management
  - Mkuu hiyo tekinolijia nani unataka ailete kama sio mjasiriamlai mwenyewe kubuni techinolojia yake?
  - Ukisubilia techinolojia ya watu wengine ili uanzishie ujasirimali jua fika wewe sio mjasiliamali bali ni mfanyabiashara. Ndo maana nasema kwa nchi nyingi za africa kuna wajasiriamali wachache sana na wafanya biashara ndo wengi sanA.

  - Huwezi anzisha duka la kuuza komputa halafu ukaitwa majsiriamlai
  - Huwezi anzisha kiwanda cha kutengeneza nguo halafu ukajiita mjasiriamli.
  - Huwezi anzisha biashara ya kuagiza magari halafu ukajiita mjasiriamali.
  Ndo maana nasema ukiangalia wajasiriamli wa Dunia wale kweli walileta Ugunduzi hapa duniani.
  - Mwanzilishi wa Macdornad mgahawa, yeye ndo mvumbuzi wa fast food duniani, leo hii ukiona fast food kila mahali ni ugunduzi uliofanywa nda muanzilishi wa macdornad.

  - Ndo maana watu kama mengi wanakosa sifa za kuwa wajasiriamali kwa sababu hakuna kipya alicho kivumbua hapa Tanzania.

   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kwa ninavyoelewa mimi (na ndivyo ilivyo), ujasiriamali si lazima ugundue kitu kipya. Na kwa tafsiri yako kuhusu ujasiriamali, duniani hawafiki milioni. Unashindwa kutofautisha kati ya mbunifu na mjasiriamali. Mimi kuwa na kiwanda changu cha nguo ni ujasiriamali tosha. Kadhalika unashindwa tofautisha kati ya mchuuzi na mzalishaji. Kuwa na hardware si ujasiriamali. Bali kuwa na sehemu unatengeneza tofali, vigae n.k ni ujasiriamali. Na usiangalie ujasiriamali kwenye production sector tu. Hata kwenye service sector pia
   
 12. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  MKUU NAZANI HUJANIELEWA.

  1. UKIJENGA KIWANDA CHA NGUO WEWE UMEKOPI KILA KITU KUTOKA KWA WATANGULIZI WAKO AU WALIO BUNI KUTENGENEZA NGUO.
  - ILA UKAANZISHA KIWANDA CHA KUTENGENEZA AINA MPYA ZA NGUO KABISA WEWE UTAKUWA MJASIRIAMALI.

  2. NI KWELI IDADI YA WAJASIRIAMALI NI WACHACHE SANA UKILINGANISHA NA WAFANYA BIASHARA.

  3. Hiyo ya kutengeneza Vigae na tofali si ujasiriamali ni unafanya biashara. mkuu kwenye kutengeneza vigae na tofali kuna kipya hapo? c umekopi kila kitu?
  - Kama utakuwa umebuni muundo mpya kabisa wa kutengeneza vigae na tofali kwa either kutumia materio mengine hapo utakuwa mjasiriamali, vinginevyo wewe ni mfanya biashara tu.

  4. Ni kweli ujasiriamali hauko kwenye traditional sector pekee. Uko katika Huduma na kwenye manufacture.

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Businessman / Business[/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]
  Entrepreneur / Entrepreneurship
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Own an enterprise or venture
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]Own an enterprise or venture[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Usually a profit oriented
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]Costumer oriented[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Usually plays safe
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]Bold and ambitious[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]May be purchased, donated or inherited
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]Creates his own idea and realize it as a business
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Generally traditional
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]An innovator
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Works for the Company
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]The Company works for him
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Usually don’t have time for their families and love ones
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]Shares enough time with their families and love ones
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Usually distressed and experiences sleepless nights
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]Always a happy and enthusiastic businessman
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Generally hire people to contribute profit
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]Hire people to make their lives better
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: style1, width: 317"]Commonly commit tax evasion to save taxes and increase profit
  [/TD]
  [TD="class: style1, width: 282"]Practice tax avoidance to save taxes and increase profit
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Entrepreneur is a businessman which is not traditional but is an innovative and creative type of a businessman. An entrepreneur differs a lot from a usual businessman. His entrepreneurship is created out of his own innovative idea and creation which is realized to be placed in business or to be transformed as a good business. Entrepreneurs are also more concerned on the quality of their products and on the satisfaction of their customers rather than being too much concerned to their profits.
   
 13. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mawazo ya kimagharibi hayana impact kwenye decentralised economy ya Africa, wengi wanaishia kukisoma tuu kujua mbinu ambazo Africa hazifanyi kazi
  Entrepreneurs wengi bongo mafanikio makubwa ni kukwepa kodi, iwe kihalali au isivyo kihalali,ulanguzi, favours za wanasiasa, mianya ya sheria ndo inawapa nguvu waliofanikiwa katika biashara zao.
   
 14. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  model nyingine ni social background pamoja na suala la muktadha (environment) ambazo zimeonyeshwa katika post # 8 sasa huyu bwana mazingira yanamfanya awe mjasiliamali, model hizi kwa kifupi haziji kwa mtu kujifungia chumbani la hasha ni tafiti zilizofanywa na waliobobea katika nyanja mbalimbali so zipitie kwa umakini na uangalifu
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kuna personality traits lazima uwe nazo na mambo mengine waweza jifunza ili kuwa entrepreneur.
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nimeona moja. Wajasiriamali wengi wa kitanzania ni zao la social marginality
   
Loading...