Masters in minitoring

Masters in minitoring

InfinixS4

Member
Joined
Mar 11, 2021
Posts
13
Reaction score
1
Habari

Naomba msaada

Hii MASTERS OF ARTS IN MONITORING AND EVALUATION inayotolewa na open universty ipoje na ina uwanda mpana kiasi gani???

Je naweza kufanya miradi ya afya katika kitengo hicho au .??

Ninataka kuissoma ila natamani kuijua well kabla sijaingia vibaya.

Kindly assist
 
Kama nia ni afya nenda mzumbe. Ya out check na wenyewe wana vituo kila mkoa.
 
Back
Top Bottom