Ardhi University "HAKITOI VYETI KWA WAHITIMU WAKE"!! (Certificates)

Ardhi University "HAKITOI VYETI KWA WAHITIMU WAKE"!! (Certificates)

MADAI

Member
Joined
Sep 7, 2009
Posts
11
Reaction score
1
Chuo kikuu Cha Ardhi bado hawajatoa vyeti vya "GRADUATES" Wahitimu wa kuanzia mwaka 2007 na kuendelea.

Nimesikia kuna mgogoro kati yake na chuo kikuu cha Dar Es Salaam.

Mimi
ni mhanga mmoja wapo nimefuatilia kupewa cheti lakini sijafanikiwa , wanasema Wanashughulikia.

Wahitimu hawana vyeti.

Kuna mtu mwenye TAARIFA kwa UNDANI
 
Back
Top Bottom