Archimedes's principle

Hapa newton third law of motion states "To every action there is equal and opposite reaction" na Hooks law "provided that the elastic limit is not exceed the extension remain constant" ni miak zaid ya 20 imepita sijawahi kusahau vitu hivyo
 
Hiyo Hookes law umeikosea

"provided that the elastic limit is not exceed the extension is directly propotional to the force applied"
 
Hapa newton third law of motion states "To every action there is equal and opposite reaction" na Hooks law "provided that the elastic limit is not exceed the extension remain constant" ni miak zaid ya 20 imepita sijawahi kusahau vitu hivyo
Hii pia kwakiswahili inasema
"Katika kila mkabala kuna kani msawazo sawa na kinyume"
 
Hutu tuhesabu tulinitoa jasho kweli

3x + 2y = 10
x - y = 5

Find the value of x and y by substitution method vilinisumbua [emoji23][emoji23]
 
Hata mie sijawahi isahau hii law
 
Excellent!
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1],..............................................................
UKIITAJI VITU USED NA VIPYA
-Aina zote kwa bei. "NAFUU".. ni PM
Kuna[emoji979] Vitanda,Makabati,Magodoro,Laptops,Cameras,Majiko,Mazurka,TV,Showcases Nk
................................,.................................
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…