mhanga wa kariakoo
Member
- Nov 21, 2024
- 27
- 27
kwani ukifanya hilo kisa adhabu si zipoSema huu msimamo wenu ni mzuri sana, mkiwemo na nyinyi pia itawabadilisha kufanya mambo kiprofessional zaidi kama vile kuacha kupita geti lisilo rasmi ,kukubali logo ya mdhamini kama ilivyo, sababu TFF hapo walipo wana hasira na nyinyi kwa hiyo hawatakubali mambo yenu ya hovyo mnayofanya(ga).
Lazima kimemuelemea chezeiya presdaa wa Tanzania weye.Hasa kwenye kikao chenye chembechembe za MITANO TENA lazima akae.sema nimeangalia facial expressions ya engineer akihojiwa ni kama anahasira hivi ama kanuna kiufupi nuru haikuwepo!, huenda kikao kilikuwa chamoto..😅
Adhabu zitaongezwa uzitokwani ukifanya hilo kisa adhabu si zipo
Amesha sema haiwezekani. Anasubiri nini kupanga tarehe ya match?Anayepaswa kikanuni kutoa points 3 ameshawajibu kwenye barua yenu kuwa hilo haliwezekani kwa sababu hamna uhalali wa kikanuni wa kupewa hizo points 3.Suluhisho ni kwenda CAS,sasa nyie badala ya kusubiri barua ya maamuzi,kila siku mnatupugia kelele za "hatuchezi"
Mwamba hata haelewi maana ya chain of command na inafanyaje kazi.Vihoja na viroja haviishi Tanzania yangu!
Nikajua labda Mama Karume angalau anaweza kuwa na kauli ya mwisho, sasa kumbe Hersi anafanya nini pale Yanga!???
Amesha sema haiwezekani. Anasubiri nini kupanga tarehe ya match?
Hayo ndio mawazo ya vijana wa UtopoloMwamba hata haelewi maana ya chain of command na inafanyaje kazi.
Alikaa tu mahali akakurupuka na kuandika Uzi.
5imba anaiwakilisha nchi kwenye mashindano ya akina mamaUnadhani kupanga tarehe ya mechi ni rahisi hivyo?Wameshasema bado wanapata ugumu wa kupanga tarehe ambayo siku hiyo hakuna mechi yoyote ya ligi,kumbuka Simba wanaiwalilisha nchi hiyo maslahi yao lazima yazingatiwe.Nyie subirini tarehe ya mechi mgomee kucheza,acheni kutupigia kelele za "hatuchezi"
Mashindano ambayo Yanga ndiye mama mkubwa maana hadi leo ndio mafanikio wanayoringia baada ya kupata vidani vya akina mama badala ya kombe.Hiyo Yanga ni mama wakubwa5imba anaiwakilisha nchi kwenye mashindano ya akina mama
🤣😃🤣Huwezi kuwakilisha nchi Kwa mashindano ya akina mama huko mpo mnatia aibu taifaMashindano ambayo Yanga ndiye mama mkubwa maana hadi leo ndio mafanikio wanayoringia baada ya kupata vidani vya akina mama badala ya kombe.Hiyo Yanga ni mama wakubwa
Na akina mama wakubwa ni Utopolo ambao walifika fainali ya akina mama na ndio mafanikio makubwa wanayotambia baada ya kupewa vidani vya akina mama badala ya kombe. Klabu Bingwa ambayo unayataja Simba keshafika nusu fainali,huko Utopolo walikaa miaka zaidi ya 25 bila kunusa makundi🤣😃🤣Huwezi kuwakilisha nchi Kwa mashindano ya akina mama huko mpo mnatia aibu taifa
Timu kubwa Zina cheza CAFCL na sio UMITASHUMITA yenu hayo ni mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda
Sawa mwakilishi wa nchi kwenye mashindano ya UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mamaNa akina mama wakubwa ni Utopolo ambao walifika fainali ya akina mama na ndio mafanikio makubwa wanayotambia baada ya kupewa vidani vya akina mama badala ya kombe. Klabu Bingwa ambayo unayataja Simba keshafika nusu fainali,huko Utopolo walikaa miaka zaidi ya 25 bila kunusa makundi
Na akina mama wakubwa ni Utopolo ambao walifika fainali ya akina mama na ndio mafanikio makubwa wanayotambia baada ya kupewa vidani vya akina mama Klabu Bingwa ambayo unayataja Simba keshafika nusu fainali🤣😃🤣Huwezi kuwakilisha nchi Kwa mashindano ya akina mama huko mpo mnatia aibu taifa
Timu kubwa Zina cheza CAFCL na sio UMITASHUMITA yenu hayo ni mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda
Ambayo mama mkubwa ni utopolo anayeringia vidani vya akina mama badala ya kombe,hiyo Klabu Bingwa Simba ndiye mwenye mafanikio makubwa kuliko timu yoyote nchini,Sawa mwakilishi wa nchi kwenye mashindano ya UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama
Kushiriki shirikisho ni aibu kubwaNa akina mama wakubwa ni Utopolo ambao walifika fainali ya akina mama na ndio mafanikio makubwa wanayotambia baada ya kupewa vidani vya akina mama Klabu Bingwa ambayo unayataja Simba keshafika nusu fainali
Ambayo mama mkubwa ni utopolo anayeringia vidani vya akina mama badala ya kombe,hiyo Klabu Bingwa Simba ndiye mwenye mafanikio makubwa kuliko timu yoyote nchini,