Arafat Haji mtu chuma kweli kweli

Arafat Haji mtu chuma kweli kweli

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,782
Reaction score
36,012
Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans

Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama

Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University

Arafat ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nina Zanzibar na CEO wa PBZ bank, yaani ulisema connection serikalini au eti TFF watishie serikali anakaa anawacheka tu

Arafat Haji anashinda pale Kizimkazi anakula kiyoyozi uje umtishie na hao akina Karia na Kabudi

Arafat Alitoka kauli 1 baada ya Derby kuhairishwa Kwa HATUCHEZI

Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wanahaha kila siku vikao, Leo walikuwa na professor wa jalalani Bado Arafat Haji alivofika akakataa

TFF wamemuomba Eng Hersi lakini akawajibu huyu Mzanzibar ashakataa yaani hataki kusikia habari za kurudia derby

Eng Hersi Said amemuomba Arafat Haji alegeze msimamo ila Arafat Haji amegoma na anasema HATUCHEZI

Arafat Haji ndo Mzanzibar wa kweli akisema NO harusi nyuma

Moto unawaka na Karia alivojibu pumba, Sasa ndo akaongeza petrol kwenye kifuu

Heko! Kwako Arafat Haji, kiongozi mahiri kutoka Zanzibar
Unaifia Yanga ukweli

HATUCHEZI

Yanga bingwa
 
Kama daby haitachezwa ntakukubalia ila kama itachezwa huyo ni ARAFA TU.
 
TFF wasiwe na ubabe wa kijinga ambao hauwezi saidia. Watafute meeting point na Yanga. Nadhani viongozi wa Bodi ya Ligi wakiachia ngazi Yanga watawashawishi wanachama na mashabiki na mechi itachezwa. TFF walishalemaa kufanya madudu na kukimbilia serikalini, safari hii inasemekana Rais hataki kusikia hayo mambo. Kama TFF na Bodi ya ligi wanadhani walikuwa sahihi kuahirisha mchezo basi vyombo vya kimpira ndiyo vitumike kutatua huu mgogoro badala ya kwenda serikalini
 
Japo mpira wa kibongo umejaa upumbavu ila TFF ya Karia imejaa mavi kabisa.

Karia ni bonge moja la tatizo katika mpira wa nchi hii. Ni jitu moja lililojaa ubepari, visasi na misifia isiyokuwa na tija.
Upo sahihi, ile interview ya kwanza alifanya ndiyo iliyochochea zaidi huu mgogoro sababu mwanzo viongozi na wapenzi wa Yanga hawakuwa na hisia kali kama sasa. Siku za mwanzo kulikuwa na mchanganyiko wa utani na mpira lakini baada ya maneno yake makali hili suala limeshakuwa la hisia na chuki.
 
Sema huu msimamo wenu ni mzuri sana, mkiwemo na nyinyi pia itawabadilisha kufanya mambo kiprofessional zaidi kama vile kuacha kupita geti lisilo rasmi ,kukubali logo ya mdhamini kama ilivyo, sababu TFF hapo walipo wana hasira na nyinyi kwa hiyo hawatakubali mambo yenu ya hovyo mnayofanya(ga).
 
Yanga ni kubwa
 
Back
Top Bottom