Wewe tu watosha...
Waione:
Arushaone, Filipo Kaizer Mzee wa Rula, Erickb52 , watu8 na wengine waliokwishawekeza kwa Arabela mtaji wa duka la simu za Tecno pale Majani-Mapana.
Kwakuwa na mimi ni mmojawapo, maana ndiye niliyekarabati kile chumba, nawaomba wanaume wenzangu shime tuungane tumsakizie
zubedayo_mchuzi ili APIGWE TU na vijana wa Pinda!
Natoa tamko: me hii ndoa imenishinda
waitu acha nije nimpe kisago cha maana ijumaa ijayo. hawezi kututisha na kutunyasa nyasa namna hiyo.
Wewe tu watosha...
Tamaa zako ndio zimekushinda na si ndoa.........copy kwa wote....nenda utakako....
nadhan mtakuwa mashahidi kwa kauli hii.. Najivua gamba... Sina niendapo ila naomba ufute kauli yako mbovumbovu
nadhan mtakuwa mashahidi kwa kauli hii.. Najivua gamba... Sina niendapo ila naomba ufute kauli yako mbovumbovu
Tamaa zako ndio zimekushinda na si ndoa.........copy kwa wote....nenda utakako....
Jaman shem zilikuwa ni hasira tu, msamehenadhan mtakuwa mashahidi kwa kauli hii.. Najivua gamba... Sina niendapo ila naomba ufute kauli yako mbovumbovu
Shem kuna mtu kaiba password yako?
Mi sina tatizo na Arabela,
Shem wetu ana mikwara huyo balaa.
PakaJimmy nimekumissijeee......Nimemiss yale mambo pale NAROK lol....Na huo mpango wenu kabambeee,,,,hamuogopi?Waione:
Arushaone, Filipo Kaizer Mzee wa Rula, Erickb52 , watu8 na wengine waliokwishawekeza kwa Arabela mtaji wa duka la simu za Tecno pale Majani-Mapana.
Kwakuwa na mimi ni mmojawapo, maana ndiye niliyekarabati kile chumba, nawaomba wanaume wenzangu shime tuungane tumsakizie
zubedayo_mchuzi ili APIGWE TU na vijana wa Pinda!
ni kweli my sis mwambie zubedayo_mchuzi jinsi gani nateseka kwa matendo yake.. Natamani kudai talaka ila nampenda. Vitisho vyake mpaka nyumban. Hanibembelezi
Dai talaka yako sisi tutakuwa mawakili wako akitaka kaunzisha timbwili bana. Au nikutafutie baunsa kabisa wa kutembea nae lakini yeye ni nyuki wa mashine kwa maana hana madhara lol.