Kuwaacha tunaweza lakini ulasama wetu nao tunauacha? Mihadhara ya dini lazima iangaliwe upya, uhuru wanaopewa watu hawa wameutumia vibya. Mihadhara ndiyo chanzo cha kulisha sumu vijana na kuanza kufanya vituko kam hivyo vya kuchoma makanisa, mabaa na mara wataingia kwenye nyumba za watu wenye imani tofauti.