Bei ni laki 150,000 inayochukua ndoo ya lita 20, hii inakuwa moja tu yaan namaanisha aqurium peke yake, Unapata mchanga mweupe wa baharini na natural plant ambayo ni majani majani yanaota ndani yake. kama unataka iwe na designed ya kabati la chini bei inaenda kwa ukubwa na urefu unaotaka.