APPT-Maendeleo, CHAUMA Wamuunga Mkono Lowassa/UKAWA

APPT-Maendeleo, CHAUMA Wamuunga Mkono Lowassa/UKAWA

Uvivu na ulalamikaji ndo sifa ya wabongo, chapa kazi kihalali uone kama utalalamika hivyo, endelea kulalamika uone kama ukawa watakuletea ugali
Kazi gani utachapa wewe? nimejenga nyumba ya kisasa lakini ndani hakuna maji ya kueleweka, hakuna huduma ya zimamoto, hakuna huduma ya kuzoa takataka kavu wala majitaka, usalama hakuna inabidi nijizunguushie ukuta mrefu na kuchomea magrii. au hujui maana ya maendeleo wewe?
 
Kazi gani utachapa wewe? nimejenga nyumba ya kisasa lakini ndani hakuna maji ya kueleweka, hakuna huduma ya zimamoto, hakuna huduma ya kuzoa takataka kavu wala majitaka, usalama hakuna inabidi nijizunguushie ukuta mrefu na kuchomea magrii. au hujui maana ya maendeleo wewe? Ukinunua used car na kuvaa nguo za mitumba unadhani ndo kuchapa kazi kwa bidii?
Uvivu na ulalamikaji ndo sifa ya wabongo, chapa kazi kihalali uone kama utalalamika hivyo, endelea kulalamika uone kama ukawa watakuletea ugali
 
hii ni pumba ya aina yake. mtu anatumia haki yake kidemokrasia halafu wewe unakuja na vitisho humu! mpuuzi kakisa wewe. kwani wewe nani kakupa mandate ya kutishia watu. tutandelea kununua biashara za rungwe. tunashukuru kwa kumsaidia kumtangaza.

Wanachama wa UKAWA ni wale wananchi wa mijini na vijijini waliopigika kwa sera za CCM zilizoshindwa kuwaboreshea maisha yao, hivyo wakajikusanya chini ya UKAWA ili kujaribu kutafuta ahueni kwa kuiondoa CCM madarakani sawa na walalahoi wa Marekani walivyomchagua Obama na democrat wakijaribu kutafuta nafuu ya maisha yao.

Rungwe na wenzako mnaogombea urais kupitia vyama ambavyo havina hata diwani mmoja nchini mnajua kuwa hamtashinda, na sisi wananchi tunawaona nyie kama watu wenye nia ya kuisadia CCM ili iendelee kutubana wananchi kwa kuzigawana kura za upinzani wakati wa uchaguzi.

Tunakufahamu kuwa wewe ni mkurugenzi wa bahari motors pale Mwananyamala, hivyo sio mlalahoi kama sisi.

Lakini rasilimali ya watu wanyonge ni umoja wao, tutahamasishana wapenda UKAWA wote ili kuzisusia biashara zako zote na za wenzako sokoni ili muwe walalahoi kama sisi, lambda mtaelewa mateso yetu na juhudi halali tunazozichukua katika kujitafutia nafuu.
 
kwani el na mega bite hawana biashara?
Kwa nn unataka kuutumia uhuru wa mtu mwingine?
Democracy na vikwazo vya biashara ni ubakaji!
akili za nyumbu utazijua tu. hawajui kuwa pale haki yao inapoishia ndo inakoanzia haki ya mwengine.
 
Back
Top Bottom