APPT-Maendeleo, CHAUMA Wamuunga Mkono Lowassa/UKAWA

APPT-Maendeleo, CHAUMA Wamuunga Mkono Lowassa/UKAWA

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Wakuu salama!...

Sasa ni wazi wigo wa ushindi unazidi kupanuka baada ya vyama vingine kuamua rasmi kuungana na kambi ya ushindi.

Kwa wadadisi wa kisiasa wanasema kinachotokea kwa sasa ni kile kilichotokea mwaka 2002 Nchini Kenya ambapo vyama karibu vyote vidogo na vikubwa viliungana ili kuizamisha KANU.... Mwaka 2013 vile vile vyama kadhaa vikubwa na vidogo viliungana Nchini Kenya (Jubilee) na kufanikiwa kuitoa Grand Collition ya Mwai Kibaki na Raila Odinga.

Kilichofanyika Kenya, Zambia, Ghana, Malawi ndio kitakachofanyika 25.10.2015 kwa vyama na wananchi wenye kutaka mabadiliko kuitoa chama cha kinyonyaji na chama cha kifamilia (CCM) madarakani.

View attachment 278194
 
Na bado...hakuna namna yoyote ambayo CCM itapona........................natabiri.................CCM itamuhonga UPDP na vyama vilivyosalia ili wamuunge mkono magufuli...lakini hata hivo nguvu ya Ukawa Ni Kubwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......................sisi adui yetu ni CCM yoteeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
UKAWA mna uzoefu wa kuungwa mkono na vyama ambavyo mwenyekiti wa chama husika ndie mwanachama pekee hai wa chama husika.

Mlianza na Makaidi,sasa mko na Mziray na huyo wa CHAUMA.Haya weee!!!!!

CCM MBE MBELE KWA MBELE UKAWA MTAISOMA NAMBA
 
2010????!!!!! Mambo mengi yametokea mabadiliko kibao ndani ya chama na nje.unatumia data za 2010?????? Haya we

Hayo hayo mambo kwa nini zisiaffect au kuinfluence other parties?.... Iwe tu kwa APPT
 
Nafikiri ni chama cha ACT pekee ambacho ni tawi la CCM ndiyo kitakachobaki na mgombea wa Urais kwa nia ya kupunguza kura za CHADEMA na kuipa faida CCM.
 
Safiiiiiiiiii.....🆒🆒🆒🆒🆒🆒
 
Mmmmh juzi juzi tu zito alimvaa lowasa! Jamaaa alifikiri siasa ni mchezo wa kitoto, hakina cha wabunge 50 wala mgombea urais
 
Back
Top Bottom