Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,652
Wakuu nitajieni apps nzuri kwa mwanafunzi ili nizipakue
Pia nitajieni vifaa muhimu vya stationery nikanunue ikiwemo aina ya peni nzuri ,penseli ,highlighters na vitu vingine muhimu vya stationery
Maana nimesikia zipo penseli mpaka za elfu 20 sasa ndo nataka nifahamu vitu kama hivi