chepson kalinga
Member
- Jun 7, 2016
- 35
- 12
nunua kaset pia mkebe na apps nzurii kwako mwanafunzii ni MKITO.COM
hahahahaNunua dftar LA mistar midogo na mikubwa
hilo la mwandiko asisahau na la vyumbavyumba la hesabu muhimu pamoja na lisilo na mistari yoyote jeupe la sanaaa(kuchora)
wewe ni wa enzi zangu...daah umenikumbusha mbali sana mkuu!!!
Mkuu sipo level hizo nipo chuo sasaTafuta THL utapata unachotafuta form1 had I form 6.
😂😂😂😂😂😀😀😀😀anaenda kusoma nini? level gani?
Ukute mwenzio anajiandaa kuingia form one wewe unamwambia scientific calculator na libgen!!!