Apps 10 ambazo lazima utumie kwenye simu yako

Apps 10 ambazo lazima utumie kwenye simu yako

Usipokua na mx player huwezi cheza video kene simu yako??
Au usipokua na vidmate huwez pakuwa video??
Mm bila hivyo hakuna kinacho aribika
MX Player ni kwa ajili ya kucheza videos ambazo hadware decorders za simu nyingi zinashindwa kuzi-play! Hivyo kupitia software decorders za Mx Player nakuwa nina uwezo huo.
Ina pia uwezo wa ku-watch videos na subtitles (unaweza ku-sync pia).
Pia kuna apps kama Terrarium zinahitaji uwe na MX Player ile uweze ku-stream movies/series.


Vidmate ina-option ya ku-play videos za Youtube online kwa resolution tofauti. Hivyo kama una limited data plan / bando la kuunga-unga unaweza kuitazama video fulani kwa quality ndogo mf. 144p/240p ili ku-save MBs zako! (wazee wa Click bait huwa hawanisumbui hapa)

UPO HAPO?
 
KAZIMA???
Na uhakika ulitaka kusema LAZIMA.

Punguza munkali mkuu, sio lazima wala nini kuwa na izo app na sina hata moja hapo,

App nnazoweza kuwa nazo na ambazo siwezi kuzikosa simuni ni
1. Jf
2. Whatsapp
3. YouTube
4. Twitter
5. Telegram
6. Messenger
7. Shareit
 
KAZIMA???
Na uhakika ulitaka kusema LAZIMA.

Punguza munkali mkuu, sio lazima wala nini kuwa na izo app na sina hata moja hapo,

App nnazoweza kuwa nazo na ambazo siwezi kuzikosa simuni ni
1. Jf
2. Whatsapp
3. YouTube
4. Twitter
5. Telegram
6. Messenger
7. Shareit
LOL. Inavyoonesha utapenda sana udaku, Mkuu! (Just Kidding)
Una apps za social media kibao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom