Apps 10 ambazo lazima utumie kwenye simu yako

Truecaller- Sababu ya nature ya kazi yangu napokea simu nying sana c rahisi kusave no zote

Instagram- for leisure

Snapchat- also for leisure

Mp3 song cutter

Games mbalimbali hukosi kwenye simu yangu

My calender- kusaidia kukumbusha mzunguko wangu wa hedhi
 
Hii ya mwisho My Calendar ifute kwenye simu yako.....nitakuwa nakukumbusha ha haa haaa
 
Nipe matumizi au kazi za Terminal Emulator na Hosts Editor
Hizo zote zinahitaji smartphone yako iwe ina root access, Mkuu!

Apps hizo ni special kwa advanced users tu ambao hawaogopi ku-brick simu zao!

Terminal Emulator inakupa uwezo wa ku-run commands za Linux kwenye Android yako.

Hosts Editor naitumia ku-edit hosts file / adblocker kwenye android!

Nimeeleza kwa ufupi tu, Mkuu! Umenisomaa??
 
Nmeshakusoma, thanks....
 
20171101_133152.png
 
Truecaller- Sababu ya nature ya kazi yangu napokea simu nying sana c rahisi kusave no zote

Instagram- for leisure

Snapchat- also for leisure

Mp3 song cutter

Games mbalimbali hukosi kwenye simu yangu

My calender- kusaidia kukumbusha mzunguko wangu wa hedhi
Nimependa unavyo jikumbuka co kama wanawake wenzako nimekuewa kwa hiyo ya mwisho tuu
 
Millard ayo
Tanzania fm radio
Facebook
Whatsap
Instagram
Jamii forum
Bus coach
Photos
Google translate
Dj mwanga
Share it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom