Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,343
Dunia inabadilika, siku hizi kuna kazi nje ya research na kufundisha ambazo zinahitaji PhD, ingawa ni kweli kwa muda mrefu PhD ilitumika zaidi kwa wale wanao kwenda kufundisha vyuo vikuu na research especially USA. Ni kitu cha muhimu pia kama inabidi ujilipie mwenyewe au kutumia mkopo-PhD kwa wengi inakuwa not cost effective nje ya research na kufundisha.Kwa watu wanaoielewa Ph.D, kama hutaki kufundisha au kwenda kwenye a very specialized research field, Ph.D ni kutafuta ujiko tu.