Miongoni mwa watu wenye kukera sana ni Madalali! wanaweza kukuzungusha siku nzima then mwisho wa siku wanakuomba nauli na lunch wakati ulikuwa umeshawapa specs ... Hawa watu wanaishi kiujanja ujanja tu mjini... wakati mwingine wanapandisha sana bei za viwanja na nyumba za kupanga ... kuna haja ya watanzania kubadilika na kuanzi kutumia mitandao kama wenzetu wanavyotumia Ebay ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.