Naomba kuuliza, huwa kuna Application za ki office ambazo huwa kama unafanya kazi hiz marketing
Kama ukifika kwa client unatakiwa upige picha mara nyingi hua haikubali ku upload picha kwenye ambazo zipo kwenye gallary inataka u pige picha moja kwa moja....swali? Hamna ki application cha ku interrupt hiyo niwe nachukua kwenye galary kwan kila siku kupiga picha kwa road unaesa oenekana mwehu!
Nitashukuru sana