zNakubakiana na wewe kwenye swala zima la channel za Telegram, ukipata channel nzur utajifunza mengi na ku enjoy vitu vingi
The Best Telegram Channels list on 2018 (Best of the World)Hizo channel wajiungaje? Nilishawahi kuwa na hio app kuna mtu aliomba nijiunge nayo akawa ana broadcast mikeka. Sikuielewa sana after sometime nikaifutilia mbali. Binafsi naiona iko complex kueleweka kwa naive people.
Whatsapp usumbufu ni kwenye verification tu. Baada ya hapo ni bata tu. Haina complication za kiduanzi.
z
Haiko Ngumu Kama Ukiwa Na Links Ambazo Zina mambo Unayopenda Kama Muziki,MoviesHizo channel wajiungaje? Nilishawahi kuwa na hio app kuna mtu aliomba nijiunge nayo akawa ana broadcast mikeka. Sikuielewa sana after sometime nikaifutilia mbali. Binafsi naiona iko complex kueleweka kwa naive people.
Whatsapp usumbufu ni kwenye verification tu. Baada ya hapo ni bata tu. Haina complication za kiduanzi.
z
Yes WhatsApp Groups Mizinguo Tuuu Ila Huku Telegram NomaaNakubakiana na wewe kwenye swala zima la channel za Telegram, ukipata channel nzur utajifunza mengi na ku enjoy vitu vingi
Mkuu kwenye izo channel/group hakuna access ya Ku comment au Ku share something???Yes WhatsApp Groups Mizinguo Tuuu Ila Huku Telegram Nomaa
Wenye Nazo Hawahitaji Comments Bali Wao Wanaprovide Madude tuuu!Ukitaka Comment Sometimes wanataka Uwape Hela Sijui Mfano Unataka Movies LabdaMkuu kwenye izo channel/group hakuna access ya Ku comment au Ku share something???
But Kwenye Groups Unaweza CommentMkuu kwenye izo channel/group hakuna access ya Ku comment au Ku share something???
Nimekusoma mkuu..Wenye Nazo Hawahitaji Comments Bali Wao Wanaprovide Madude tuuu!Ukitaka Comment Sometimes wanataka Uwape Hela Sijui Mfano Unataka Movies Labda
Akili za kuambiwa changanya na zako....Kiukweli Telegram ikopoa sana, mnaweza kushare aina yoyote ya file bila kujali size, channels kibao za movie na series, vitabu nk. Hayo ya dada yenuhayo mtayajua nyie. Mtoa mada yuko sahihi na hii mada kaweka sehemu sahihi. Msilete michangio ya kisiasa kwenye jukwaa la tech.
Kuna groups na channels. Kwenye channel ndo huwezi weka commentsAiseee...telegram iko vizuri...mkuu VP siwez Ku add comment ktk izo group??
Mkuu telegram ni habari nyingine bwanaa wana option moja inaitwa secret chat 1.ni end-to-end encryption, 2.haiachi trace ktk server zao, 3.ina self destractive timer yaani kila baada ya sekunde 7 ujumbe ulioutuma unajifuta wenyewe, 4.chengine hairuhusu kufowadi ujumbe. 5.Balaa lengine ukiingia kwenye hiyo secret chat hadi screenshot inagoma. yaani hawaruhusu hata screenshot. Jioone mwenyewe kwenye picha hizimawasiliano
Boss naomba Channel za movies na Software'sSababu wengi hawaijui telegram basi watabisha!Ila App ya telegram ni kiboko sababu hata kama huna members wa kuchat kwenye contacts zako,telegram ina channels na group ambazo unajiunga bila kuungwa kuna channels na groups za kila kitu like movies,music,books,sport vitu vyoooote!WhatsApp sijaona kuizidi telegram!Download leo kisha nicheck nikupe links za Channels!Wazee wa Novels kuna chimbo moja huko hatari!
@CinimaworldBoss naomba Channel za movies na Software's
t.me/CinimaworldBoss naomba Channel za movies na Software's
Aminia jembe langu
Mkuu zinasema unknown, ni salama hizi??
Sorry nimesolve kwakuserch kulekuleAminia jembe langu
Mwanaginingi:Boss naomba Channel za movies na Software's