Application ya habari za teknolojia

Application ya habari za teknolojia

akroatis

Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
34
Reaction score
27
Habari, natafuta mtu wa kufanya nae kazi ya kuandika habari zinazohusiana teknolojia. Habari hizi tutakuwa tunazi post kwenye android application kwa sasa, japo baadaye tutatengeneza ios application na web application.

Mtu yoyote anayehitaji na anaweza kuandika na kufuatilia mambo kuhusu teknolojia katika nyanja yoyote ile (mfano sayansi ya kilimo, mambo ya kompyuta na elimu ya sayansi), naomba tuwasiliane kwa namba 0689420168 au 0735420168. Pia kama una swali au ushauri, usisite kuniuliza/ kutoa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanilipa bei gan?
 
Unapataje hela
Daah nimecheka mpaka basi
Mwanangu vitu havianzi vikiwa vikubwa,wewe mcheck tu

Mimi nitakua naandika makala kuhusu IT News na programming tutorials pia nitakusaidia kutengeneza web app na ios app kama tayari una domain na server

Nicheki 0623391590
 
Back
Top Bottom