carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Kwahiyo mzee siku hizi umeamua kuwa kama Bradha unaonekana usiku tu??
Pole kwa uchovu
Kwahiyo mzee siku hizi umeamua kuwa kama Bradha unaonekana usiku tu??
Pole kwa uchovu
Mimi hata sina uhakika kwakweli.Kwani ni Baba yake!??
The only thing to fear is fear itself
Haha shauri yako..Mimi hata sina uhakika kwakweli.
Hujambo?
Hvi nyie mnaongelea notification zipi!!?Baba ake anne anazidi tusogeza siku mbele tu
Sijui anatuonaje![]()


Tutaacha App laoUnaipenda lakini inakutenda daily
Wazee wa Mei mosi bwana
Melo amekuwa mswahili.Muwe na subira jamani mbona jazba kama hivyo?
Wajaribu kuiacha App isumbue halafu utaona kama utaniona humu![]()
Huna jeuri hiyo
Halafu nimemtag ila haji kujibu malalamiko yetu
Tatizo huyu mtoto ni mbishi sana
Anamuamini mnoo baba yake
#mtaniHapoKwaKwiniHapo#mjininitaruditu
#namuachajekwinipekeyakesasa