carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,616
Hebu nipe location mimi niende😋😋La ng'ombe na yule Mtu namfahamu ni fundi hasa wa kuandaa maankuli
The only thing to fear is fear itself
Hebu nipe location mimi niende😋😋La ng'ombe na yule Mtu namfahamu ni fundi hasa wa kuandaa maankuli
The only thing to fear is fear itself
Nilijua tu hizi point 3 utazifurahia😁😂😂😂😂😂 naona vikongwe mmekutana
Mpaka unakosea kuandika kwa uroho wa nyamaHebu nipe locayion mimi niende![]()


😂 😂 😂 😂 😂 huwa sina maskhara na chakula hasa nyamaMpaka unakosea kuandika kwa uroho wa nyama
Ni Jumatano lakini usijali
The only thing to fear is fear itself
😂😂😂😂yaani angekuwa ankoo hapa ungesikia shuaini zako😂😂😂😂😂
Nilitaka nisijibu sijui imekuaje tu?
Ngoja niulize kuna nafasi ya watu wangapiNafasi ipo nikae ubavuni kwako au nitaaribu mchongo?
😂 😂 😂 😂 🏃🏃🏃Ndio ushaniambia kijanja hivyo 😂😂
Shwaini zako mwenyewe
Huku kwema piaHofu na mashaka ni juu yako tu
Hapa kwema
Niko kwa mdaka chozi sema hii biashara ya kufunua page inataka moyoNjoo kwa mdaka chozi browser
Hahah karibu sana Ustaadh na wewe fanya kabla Ramadhani haijaisha utupe mualikoNafasi ipo nikae ubavuni kwako au nitaaribu mchongo?
Kususa tena😂😂😂😂Nafasi za matumbo mengi tena mie naweza kuwasusia kabisa mualiko huo
The only thing to fear is fear itself