Ngoja nikakusemee kwa melo kuwa unamchezea,akupe banNaona vicheko tu
Notifications na matangazo vipi huko
Safi tuNotifications na matangazo vipi huko
I'm on that good kush and alcohol
Hivi unaanzaje kwenda kushtaki?
Nikipewa ban utakosana na Carba
Shauri yako
Kila siku nakwambia hashindwi kitu..Hivi unaanzaje kwenda kushtaki?
Maongezi yenu yataanzaje yani?
Niko na shauku ya kujua
Hivi unaanzaje kwenda kushtaki?
Maongezi yenu yataanzaje yani?
Niko na shauku ya kujua
Yaani hapa najiuliza ataanza na jina gani kuita kabla hajamalizia lile jina la serikali.
Totoo uwe na adabu sasa hivi ban ni nje nje.
Ukimnyima picha ban
Ukimcheka ban
Yaani shida tupu
anaogopa kutoa jibu hadharani tutawacheka, wazee wa App bwana
Sijui nimwite MeloNikipewa ban utakosana na Carba
Shauri yako
Yaani ndo naanza kuamini maneno yake.
Hiyo boss nakataaaaa
Dah!