Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,407





Utamkuta nani sasa?
@Saint Anne kalale tu kwakweli
Mimi ni mpole sana hujajua tu
Si nilikutumia angalia vizuri kwenye FolderYako sina bhana
Umeanza usanii eti
Anafikiri yupo kwenye uzi wa usiku wa mananeHahah! Eti saa nne hii bado anaahidi tuonene baadae
Yaani wewe na anne ni baba mmoja mama mmoja


Ile unataka ku log in unakutana na lile tangazo la ooppps!!![]()
Twende wote tu![]()





definition ya neno upole itakuwa imebadilikaHuyo mtoto kazoea kukesha