Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Wapi pale kisutu?Hahah! Itabidi nitafute yale magazeti akiwa mahakamani usikute na wewe upo pembeni
Mimi nilikuwa camerawoman wake





Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi pale kisutu?Hahah! Itabidi nitafute yale magazeti akiwa mahakamani usikute na wewe upo pembeni





akuu nimesema labda.Notifications nasikia zimerudi siku sio nyingi
Hahah! Halafu Mkuu una masihara na simu ya St Anne?
Hahah!
Yule siku hizi ananiona mimi comedian
Mara anitanie navaa magauni ya Yesu Ni mwamba.
Hili kundi lilishakamilika tayari,tuko watatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio upo kama comedian, wewe ni comedianHalafu Mimi nilivyo kichaa
Hadi kwenye siasa kule naangua tu vicheko
Hii mada mimi nipo kama comedian tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Nikisikiaga mada ya simu vimeo huwa nakumbuka sana simu yako












Mwenyekiti acha ubishi basi
Hivi page zote zile umeshindwa kuuliza maswali basic kama hayo?Hivi ana watoto wangapi?
Hivi hana mdogo kweli?maana ye mwenyewe nishamkosa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app


Admin fanya kuniaddHahah! Nimeona vile mmewakilisha yani leo mchana nilikuwa nacheka mwenyewe humu....
Pia nisipokuwa hapa nawakumbuka sana, itabidi niwafungulie group la WhatsApp![]()


Unanitafutia life ban eti?
Unataka kuwa kama jecha?


Hahaa!
Mimi kila ninachokiwaza kinakubali sasa sijui nibaki na kipi tu?