ha ha haaa......!!! hapo Bado hujatumia e-mail na Password fake (za kwenye Generators) Mkuu technology ni uwanja mpana sana.....!!!Umetisha 🙌
Hii sikuonaWalivyo wabaguzi sasa wameangalia wale waliosifia sana ndio wakawarudishia![]()






NimeshakujaSaint Anne hebu kuja pande hii kabla sijaghairi

Kumbe unataka ukaniuze wozap??Nimeshakuja
Nibariki tafwadhali nikasuuze roho yangu WhatsApp huko
Sent using Jamii Forums mobile app



Kumbe unataka ukaniuze wozap??
Umenikosa











sikuamin ujue?




Dah kumbe ningewahi ningeona picha mimi jamani
Never in kd's voice

carbamazepine









Dah
Shida ni pale ulipoanza kunisifia sana na kuniambia unataka kwenda kuniuza wozap





