carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,616
Mbona unalazimisha yawe maji?(in KD's voice)



Mbona unalazimisha yawe maji?(in KD's voice)



Bado nawaza uliwezaje wezaje yani kuwa mvumilivu kiasi kile, sikutegemea kama ungezeza kuwa uliotea lile tukio
#mbongomoviewewe











jamaniAlivyo mnafki akagonga like ili nijue kaona halafu akasepa



kama nakuona ulivyocheka
Kumbe alikuwa dirishani anachungulia
Alivyo mnafki akagonga like ili nijue kaona halafu akasepa
kama nakuona ulivyocheka
Dahnilicheka kweli






Kweli uko good na ni habari njema sana.
Sasa sindio tucheke au mimi nacheka vitu ambavyo havichekeshi?
Leo mixer kuzurura town kabisa yani nipo Good, vipi wewe hali yako?



