Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
- Thread starter
- #1,121
Ndio nilienda na sasa nipo poa kabisa
Nashukuru Sana, natumai pia unaendelea vizuri na hospital ulienda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nilienda na sasa nipo poa kabisa
Nashukuru Sana, natumai pia unaendelea vizuri na hospital ulienda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nilivyokuwa Mimi tubasi kawa mzembe sana jamani

Ulikuwa unaogopaNdio nilienda na sasa nipo poa kabisa

😂😂😂😂 uliona kama umepata dawa ya CoronaKama nilivyokuwa Mimi tu
Juzi nilijiona nimeyapatia maisha Sana yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Kweli niko poaUlikuwa unaogopa
Hembu sindikizia na kapicha ili tuone Kama kweli uko poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa basi hiyo barakoaHahah! Kweli niko poa View attachment 1429970

Nilijiona Rais wa Madagascar yaaniuliona kama umepata dawa ya Corona

Toa kidogo Basi tuone.unataka nipate Corona sio?

Juzi Cole katoa baraka akapitwa tena![]()
Nilikuona jana kule ulikuja kuiba picha
Good morning

