Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,449
- 235,064
Ujifukize dozi kutwa mara tatu
Kuna sehemu nimesomaUjifukize dozi kutwa mara tatu
Kuna sehemu nimesoma
Wakawa wanasema aliyesema tujifukize anasema mvuke wa 100°C
Eti sasa tutabaki watu kweli au marobot
Sent using Jamii Forums mobile app
Miarobaini huku vijijii ni ya kumwaga tudawa haiwagi tamu
kwenu Kuna miarobaini nije nikate matawi nikauze fursa hii Aisee??
Nakuj kuisomba
Nakuj kuisomba
Naona Simu haizimi
Umetukimbia
kila kitu naona ila video tu ndo hazifungukiNasikia watumiaji wa freebasic hata picha hamuoni
Zi zi zimerudi
Naona bado tatizo halijapata ufumbuzi yakinifu