Anazeeka vizuri sasa.
Naamini atapata baraka zaidi ya zile maana kakua saiv![]()






Hahaa!hakikaKwakweli sasa hivi hakuna ambae atasita kumbariki![]()
Utoe Sasa ile emojKwakweli sasa hivi hakuna ambae atasita kumbariki![]()

full sikushauri maana simu yake inatabia ya kupost yenyewe










Kwahiyo ukaona mnyonge wako ni mtoto wa balozi sio?










Povu +block vingekuhusu
😂😂😂😂
MUNGU huyu....si Bora nimuuza King mpole..
Mwingine angekuwa ashanitoa meno
Sema ile picha inashawishi Sana..nikajikuta nimemuuza
Sent using Jamii Forums mobile app



kama inavyo add emoji siofull sikushauri maana simu yake inatabia ya kupost yenyewe