Am the One
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 913
- 905
Apps lakini changamoto ni notification haziji kabisa kwa ss ni muda mrefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna changamoto yoyote kwa anayetumia browser
Notifications on time,inaeleweka,unaweza kuedit ulichoandika(sina uhakika kama APP unaweza kuedit siku hizi),namna ya kutag kwa browser haiko complicated,bold,italic na mazaga zaga mengine yapo huku kwenye browser na ni rahisi mno kuyaapply
Browser haiachi ushahidi wa kwamba unatumia JF(mtu akishika simu yangu hawezi kujua kama hata naijua JF) kwasababu sina APP ya JF
Jamani
Usijali notakua nakuja hapa kukusalimia maana huko duniani nakuogopa

Hilo kundi bila wewe kuwepo Ni ubatili tuembu nitolee balaa sasa hivi, nitoe mimi jiweke wewe hapo lazima kipindi kitafafiliwa hadi na Trump
Yaani nakumbuka vile niloshangilia kusikia jimbo halina mjumbebabe hadi wewee?🙄



embu nitolee balaa sasa hivi, nitoe mimi jiweke wewe hapo lazima kipindi kitafafiliwa hadi na Trump





Wenyewe wanasema mwezi wa tano wataboresha




eti usiku wa pete, siku hizi usiku zimekuwa nyingi mno jamani
Kwa upande wangu napenda Browser zaidi ya application.Tunaingia humu JF kwa kutumia hizo njia mbili embu tuambie wewe unatumia ipi kati ya hizo?
Muambie mtu ambae hatumii njia yako vitu ambavyo vinakukera na vinavyo kuvutia zaidi katika njia yako...
Kuna sehemu niliona mtumiaji wa Browser akimuambia mtumiaji wa App kwamba App wanatumia wazee 😀...
COVID 19 ipo tujikinge kwa kufuata ushauri tunaopewa na wataalamu
Fanya hivyo bhana si unajua mambo yashakua mengi mtaani hukuBado nilikuwa nakomaa tu kitaa ila itabidi nifanye namna
Dah! Ahsante Carba
Mimi hadi nimezoea kukaa bila notification..Juzi tu hapa nilikia namwambia stella aachekushangilia kirudi kwa notifications maana hilo gonjwa ni sugu kwenye app.
Sijui kwanini wanashindwa kurekebisha hii kitu

Nitakuwa kama director tu 😀Hilo kundi bila wewe kuwepo Ni ubatili tu
Ni Kama Tmk wanaume family bila chegge
Sent using Jamii Forums mobile app