Application Users Vs Browser Users

Kwani ni mara ngapi watumiaji wa App wanalalamika kwamba hawapati notifications na wakaahidiwa kwamba tatizo litatatuliwa? Baada ya kupewa hizo taarifa waliacha kulalamika au hadi leo bado wanalia tu kama siku zote?

Sasa kufanya hivyo haimaanishi kwamba wahusika hawana taarifa bali inakuwa kama ni kuwakumbusha kumbusha tu mzee
 
haha, Babe jamani kwani mwenye jimbo anasemaje'?



Cc Davet
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Jamani umeulizwa wewe kama umenirudia sasa mimi najibu nini tena?

#usikwepemajukumu


๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 

Sawa Sawa Mkuu nimekupata
.
Ngoja tuwauliza Sasa
Technician wa JF mnashindwa nini kutatua hili tatizo ?
Davet anataka kuwapiga tafu kidgo

Anae Software Engineer wake if interested mnaweza mkamcheki PM (joke)
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Jamani umeulizwa wewe kama umenirudia sasa mimi najibu nini tena?

#usikwepemajukumu


๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… bhana jibu rahisi unakosaje hapoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ