Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Yaani mkuu Mimi naisubiri kwa hamu.
Yaani mimi browser hakuna anayenishawishi kwa kweli, comment kama sijaipenda naiacha tu siyo lazima nioneshe sijaipenda.Eti Mara dislike
Mara hizi emoj za kuchukia()
Kwani made usipoipenda/comment si unaipita tu,kwani lazima kudislike
Kwa huu ushawishi eti kweli jamani tunashawishikaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko msibani mmeweza kumuongelea Shark sasa?
Mmhh
Haujanifikia mimi, nishaanza kuona hiyo mei mosi ni mbali.
Alishatoa michango huko juuYaani mimi browser hakuna anayenishawishi kwa kweli, comment kama sijaipenda naiacha tu siyo lazima nioneshe sijaipenda.
Hivi kwanza Depal hajauona huu uzi bado, team browser yule kama namuona anavyokuja kutukejeli watumiaji wa app.
Na iwe hivyo yaani ili na sisi wa app tuenjoyYaani mkuu Mimi naisubiri kwa hamu.
Naendelea tu kuomba Melo akamilishe Mambo huko
Sent using Jamii Forums mobile app
@Lizarazu angekuwepo angesema mna vizabinazabina nyie
Hili Neno silisahau walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha itafika tu yaaniHaujanifikia mimi, nishaanza kuona hiyo mei mosi ni mbali.
Yaani Hadi kiswahili chake kinatupiga chenga.yaani yule kaka yetu kwenye misamiati ya lugha yuko vizuri, siyo kimalkia wala kisultan.