thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,867
- 4,859
Huko ndio target zangu kwa sasa, hata ukiangalia mijadala wazungu ya reddit wanachukulia apps ni kama bidhaa ambayo inatakiwa ulipie.Mentality ya kimaskini na kikora hii. Sijui tutaiacha lini. Kulipa kitu kinakupa value tunaona ni shida.
Ila uje tu kwenye Android, badili target weka available kwa nchi zenye kujali kulipa, au target corporate customers
watumiaji wa android hasa tanzania ni umiza kichwa.
kwenye reviews mtu anakupa single star sababu yake app ina ads nyingi, app ambayo umeiweka upande wa in app purchases ambayo haina ads wanaolipa wachache.
Wengine wana-install adblock kwenye simu kuzuia matangazo.