Kwanza unataka za simu au computer?Hellow
Ni site gani nawezapata cracked application for free? Kama Adobe photoshop na nyingine
Natamani na mimi siku moja nianze kulipia software, tuna crack lakini tujue kuna watu wanatumia hours and hours of their lives kutengeneza hiyo software!Hellow
Ni site gani nawezapata cracked application for free? Kama Adobe photoshop na nyingine
ahsante ndugu apo umekomboa wengihttp://eunsetee.com/PwYb Cheki hapo kwa Application za graphics
http://eunsetee.com/Pwby Cheki hapo kwa Application za Ofisini
http://eunsetee.com/PwnM Cheki hapo kwa Microsoft Windows Operating Systems
http://eunsetee.com/Pwq5 Cheki hapo kwa Linux Operating Systems
http://eunsetee.com/Pwt3 Cheki hapo kwa Mac Operating Systems
http://eunsetee.com/Pwvv Cheki hapo kwa Multimedia Application
http://eunsetee.com/Pwxm Cheki hapo kwa Antiviruses
http://eunsetee.com/Px21 Cheki hapo kwa Internet Network Utilities
http://eunsetee.com/Px65 Cheki hapo kwa Virtualization Utilities
Kama Hutaona unayotaka hapo nambie ili niweke web zingine maana ziko nyingi sanaahsante ndugu apo umekomboa wengi
Tumia windows 10 Redstone 5 au Windows 10 education 1903. Hapa Cracked software nyingi hazitoboi kabisa. Ukiweka cracked yako inapitiwa kama upepo. Cracked box kama NCK hairun. Hii version ya windows zingekuwa zote kama hizi, tungenunua software. Jamaa kakaza kwenye windows 10.Natamani na mimi siku moja nianze kulipia software, tuna crack lakini tujue kuna watu wanatumia hours and hours of their lives kutengeneza hiyo software!
Kwa kifupi ni kwamba tunaiba software.
Watanzania mabingwa wa kuiba. Kununua hata ikiwa 10,000/= bado wengi hawatalipa. Watakuja na visingizio kibao ila haibadilishi kuwa vibaka!Natamani na mimi siku moja nianze kulipia software, tuna crack lakini tujue kuna watu wanatumia hours and hours of their lives kutengeneza hiyo software!
Kwa kifupi ni kwamba tunaiba software.
Nasubiri siku utoe app yako halafu mtu aje afane ulichofanya, nione tabasamu lako litakavyokuwa!http://eunsetee.com/TMRB Cheki hapo kwa Top Paid Android Apps ( Number 2 )
Hii ni kwa wale waliokosa apps kwenye ile link ya kwanza
http://eunsetee.com/TMUW Cheki hapo kwa Top Paid Android Games ( Moded ) Unloked+Free money & Etc
http://eunsetee.com/TMYt Cheki hapo kwa Adfree and Premium Android Apps
Mkuu heshima yako kwanza, mimi sija fanya modification yoyote ile ya app yoyote bali nime copy link kwenye mitanzao mingine na kuweka humu ila kama nimekosea samaanini sana software developers na nimefanya ivo kwakuwa watu wengi bongo tunatafuta vitu premium ila maisha ya kutufanya tuwe premium wengi hatuweziNasubiri siku utoe app yako halafu mtu aje afane ulichofanya, nione tabasamu lako litakavyokuwa!
Of course ni kosa kuweka link ya Software za wizi. Na wewe unashiriki kuiba. Software kama Photoshop ni za kazi, as such huwezi kufanyia kazi bure. Ndio maana wanauza wakijua unafanyia biashara pia. Makampuni haya hutoa leseni bure kwa vyuo. So kwa wanafunzi sio issue.Mkuu heshima yako kwanza, mimi sija fanya modification yoyote ile ya app yoyote bali nime copy link kwenye mitanzao mingine na kuweka humu ila kama nimekosea samaanini sana software developers na nimefanya ivo kwakuwa watu wengi bongo tunatafuta vitu premium ila maisha ya kutufanya tuwe premium wengi hatuwezi
HapanaOf course ni kosa kuweka link ya Software za wizi. Na wewe unashiriki kuiba. Software kama Photoshop ni za kazi, as such huwezi kufanyia kazi bure. Ndio maana wanauza wakijua unafanyia biashara pia. Makampuni haya hutoa leseni bure kwa vyuo. So kwa wanafunzi sio issue.
Ukisema kwa personal use bado kuna better free alternative kama Paint.net na Gimp.
So tuache wizi. Kama unafanyia biashara nunua. Imagine ukute namsaidia kibaka kuvunja dirisha ili aibe kiulaini. Utafurahi?
In everything, therefore, treat people the same way you want them to treat you, for this is the Law and the Prophets - Jesus Christ, Matthew 7:12Hapana
In everything, therefore, treat people the same way you want them to treat you, for this is the Law and the Prophets - Jesus Christ, Matthew 7:12
Watanzania wengi wanaamini kitu kikiwa kwenye digital formats basi hakipaswi kulipiwa.Nasubiri siku utoe app yako halafu mtu aje afane ulichofanya, nione tabasamu lako litakavyokuwa!
Mentality ya kimaskini na kikora hii. Sijui tutaiacha lini. Kulipa kitu kinakupa value tunaona ni shida.Watanzania wengi wanaamini kitu kikiwa kwenye digital formats basi hakipaswi kulipiwa.
Ndio maana mi naona bora kuwa iOS developer kuliko android angalau iOS unaweza nufaika na kazi zako bila kutegemea ads.