Application muhimu kwa smartphone yako

Application muhimu kwa smartphone yako

jamani hiyo video oder nshajaribu kuidown load lkn siwez kudowload video yoyote sasa ebu nielekezeni inavo tumika
ce919fa0fa0b68cca03df165d88eabc7.jpg

mkuu utakapofungua video huwa inaleta option hizo unaweza download audio au video kwa size uipendayo.
 
jamani hiyo video oder nshajaribu kuidown load lkn siwez kudowload video yoyote sasa ebu nielekezeni inavo tumika
696a46395b3f2e78050cf255319b27ff.jpg

ni jinsi ya kudownload video na picha za kawaida Instagram. Bofya kwenye hizo dot upande wa kulia ktk post... Kisha itatokea hivi

0dbc7a67ad41f36cff1187cc1d22dbca.jpg

Ukisha bofya download itakuletea links kama hivi

4ab337415fab5bba5f05e50c3ba38adb.jpg

Kazi ni kwako na mbs.
 
Naongezea apo! Kwa wale tusopenda kununua bando tunavizia public WiFi ambazo ni secure/ina password au router wifi ya jirani yako au uko Town afu kuna wifi ina security basi tumia WIFI MAP iko play store itaifungua na utasearch location ulipo na itaonyesha WiFi zinazokuzunguka na passwords za izo Wi-Fi waliozoweka jamaa,.... NB: GPS iwe ON muda uo ili iwe rahisi location yako kua recognized na WiFi Map na ukumbuke kudownload Tanzania WiFi Map iliopo umo umo kwenye App iyo...
Hii App inahitaji simu iwe rooted au hata bila root?!
 
Mkuu hii hakiki ni bure? Wasije wakawa wanachota pesa kwenye account kila unapohakiki
 
Kila mtu ana chaguzi zake bora katika application za Smartphone...!!

Sijaona app ya truecaller...!!
App inayokuwezesha kutambua jina la aliye kupigia hata kama huna namba yake..!!

Hii ni moja tu ya mfano ila kuna a lots of app ambazo ni bomba kutokana na hitaji la mtumiaji.

Yote ya yote shukran mleta uzi..
Naikubali Sana hii app
 
Back
Top Bottom