Duuu!! Mkuu hata kufupisha address usaidiwe?! anyway kama unaandika kwa mkono itabidi page layout orientation iwe Landscape!. Angalia vitu gani mhimu kwenye adress isitoshe haiwezipotea maana haipiti posta,ni formalities tu!
Sasa kama barua tu inakutoa jasho Je Interview?! We jiamini vyovyote utakavyoandika kama ni nafasi yako utapata applicant ni wengi mno hawawezisoma barua zote neno kwa neno!