Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 710
Ndiyo hapo kwahiyo vyovyote vile unaweza ukawa ni sahahiMm naona vyovyote tu ni sawa maana hawajatoa ufafanuzi.
Haya bhnsawa tu iwe safi
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hayo ya kuandika kwa mkono hawajasema Bali wanataka tuu iwe na signature tuuWanashauri bora kuandika kwa mkono
Habari zenu,
Kuna Dogo kaniuliza hapa kuwa hivi application letter ya Tra unaweza kuandika kwa mkono harafu ndiyo uiscan au unatype harafu unaweka signature ndiyo unaiscani?
Mwenye kuelewa please maana mie nimemjibu kuwa yote sawa tuuu shida iwe na signature tuu
Kwani ukisema ni wewe ndiye unaye uliza kuna shida gani? tumia njia yoyote unayo ona inafaaHabari zenu,
Kuna Dogo kaniuliza hapa kuwa hivi application letter ya Tra unaweza kuandika kwa mkono harafu ndiyo uiscan au unatype harafu unaweka signature ndiyo unaiscani?
Mwenye kuelewa please maana mie nimemjibu kuwa yote sawa tuuu shida iwe na signature tuu
xps ndio Nini? brotherKwa ushauri tu,Type kwenye computer, then scan sahihi yako weka kwenye application letter,kwa ubora zaidi convert application letter kuwa pdf au xps.
Is just a file format like pdf. Doc. Docx or txtxps ndio Nini? brother