vallentino86
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 532
- 211
Habari zenu wadau wote wa JF, poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Samahani kwa usumbufu wanachama wenzangu wa Jamii Forums ila naomba kufahamishwa ni application ipi nzuri kwa kupata sim ilioibwa sana sana hizi smartphone iwe Android au iPhone. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, nawatakia usiku mwema na familia zenu zote na mlale salama.