Application inayotoa mkopo direct kwenye simu yako kupitia M-pesa.

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
238
386
Una emergency yoyote na unahitaji pesa kwa haraka? Unahitaji mkopo? BRANCH ni Application iliyoanzishwa na Mzungu kutoka Marekani inayotoa mikopo direct kwenye simu yako. Unachohitaji ni kuDownload Application hii na kujaza maswali utakayoulizwa ikiwemo majina yako kamili, namba ya simu n.k. Mkopo ni instantly unatumiwa kwenye simu yako na wanakupa na repayment period. Application hii inafanya kazi only in Kenya and Tanzania.

Application nyengine inayoendelea kuwanufaisha Wakenya kwa mikopo moja kwa moja kwenye simu ni TALA. Ila siko sure kama hii Application inafanya TZ but unaeza download na kujaribu.

Trust me these applications dont disappont. Unakuwa na hela sasa hivi.

Thank me later. Enjoy ur weekend.
 
Je zamana ya huo mkopo ni nini mpaka uyo mzungu anakuamini ????

In Kenya wanaulizia majina kamili, namba ya simu na namba ya kitambulisho(ID Number) kama dhamana. So sijui in TZ wanaitisha nini. Its better uDownload ili ujionee na ujifunze zaidi.
 
Jaman badiliken maisha ya sasa hivi sio ya kitapeli tena .. Huu utapeli utawapeleka pabaya ..
Maisha ya kupata bila jasho hayapo tena mtaumia bure .. Shaur yako
 
Jaman badiliken maisha ya sasa hivi sio ya kitapeli tena .. Huu utapeli utawapeleka pabaya ..
Maisha ya kupata bila jasho hayapo tena mtaumia bure .. Shaur yako

Iam informing people na mimi sio tapeli, mimi ni mtu na mambo yangu mengi sana. But najua kuna watu wanahitaji emergency money kwenye shida zao mbali mbali. Be informed, ikiwa unataka loan chukua, hutaki wacha. Sina haja ya kutapeli coz Iam a hard working dude and Iam making my own money everyday.
 
Hata kudanganya hujui .. Hakuna kilaza ambaye atakubaliana na uwongo Wa kitoto kama ulioandika hapa ...

Acheni maisha hayo mtakuwa vilema bure mshindwe Wa kumlaumu
 
Muhimu: Wanaofaidi mikopo ya BRANCH ni wale wanaokesha na kushinda FACEBOOK, tofauti na hapo huwezi kopesheka
 
Back
Top Bottom