Application inahitajika

Application inahitajika

xfactor

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,290
Habari yenu wadau

Nina ndugu Yangu ana duka la vifaa vya ujenzi anahitaji computer application ambayo itamsaidia kurekodi mauzo na manunuzi lakini pia kumpa ripoti mbalimbali atakazo hitaji.

Pia iwe na uwezo wa kufanya backup ya database ili Incase computer ikiharibika then taarifa ziwepo

Naomba unitajie Gharama za hii Kazi hapahapa kabla hujaja pm.
 
Hiyo itagharimu tsh 1,500,000. Na miezi miwili. Nipe hiyo kazi kaka
 
Mwambie hiyo bei kwanza akiafiki andaeni requirements mkiwa tayari nirudie PM,kuhusu watu waliofanyiwa hii kazi hapana ila kuna waliofanyiwa kazi nyingine tofauti.
Kazi inafanywa kulingana na mahitaji ya mteja na ni mara chache mahitaji yanalingana.
 
Habari yenu wadau

Nina ndugu Yangu ana duka la vifaa vya ujenzi anahitaji computer application ambayo itamsaidia kurekodi mauzo na manunuzi lakini pia kumpa ripoti mbalimbali atakazo hitaji.

Pia iwe na uwezo wa kufanya backup ya database ili Incase computer ikiharibika then taarifa ziwepo

Naomba unitajie Gharama za hii Kazi hapahapa kabla hujaja pm.

Nami pia naomba nifikiriwe naweza ifanya kwa gharama ya Tshs 2,500,000/= kwa muda wa miezi miwili, rasimu ya kwanza ndani ya mwezi mmoja baada ya kukubaliana kwa ajili ya wewe kufanyia majaribio na wote (mimi na wewe ) kufanya "GAP Analysis" yaani ulichonielekeza na kile nilichofanya .

Kazi kamili inakabidhiwa ndani ya mwezi baada ya "GAP Analysis". Uzoefu upo kabisa na maongezi yapo lakini haishuki sana ili upate kilicho bora.

cc: &xfactor
 
Kuna watu ambao mmesha wafanyia hii kazi ili aweze kwenda kuona?

Kuna hii hapa app ambayo nilidevelop kwa ajiri ya kutunza kumbukumbu za check katika organization ninayofanya kazi. Nimedesign database inayoitwa magabe.emgb and simple user interface ya console kwa ajir ya kuprocess hizo data za cheque .. App hiyo nime Attach hapa
 
Attachments

3M for desktop application. Full with
Printing capabilities. Additions kama
Cloud synchronization na android integration akitaka ili aweze ku access report popote duniani … at additional costs.

Tunatengeneza world standard products
Hosanna Higher Technologies - Welcome! kwa few more details
 
Two to three months depending on net requirements and any addition opted
 
Nawashukuru wote kwa kujitokeza,naomba kila mmoja wenu anitumie Namba yake ya Simu PM then itafanyika evaluation Kulingana na uwezo wake then nitawacheki

Mungu awabariki
 
leta kazi hiyo mkubwa kwa 2.7M desktop appliaction ambayo itakuwa inafanya kazi zote unazohitaji na kucreate backup pia ya data zako zote, pia tuatakupatia android / iOS application ambayo itakuwezesha kukupatia taarifa zako popote ulipo, pia ninazo kazi ambazo nimeshazifanya zinazoendana na mahitaji yako.

Be smart by selecting Smart ICT Systems
 
Back
Top Bottom