Application gani inaweza kupima eneo kwa kutembea?

Application gani inaweza kupima eneo kwa kutembea?

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,333
Reaction score
402
Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nipime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
 
Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nipime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
Vifaa proffesional ni bora zaidi, vinatumia GPS za kulipia ambazo error yake ni ndogo ama tech nyengine ambazo zina accuracy kubwa.

GPS ya simu error yake ni mita hadi 9, so unaweza uka ongeza ama kupunguza kwa hizo mita, unless una uwanja mkubwa sana inaweza kuleta shida baadae.

Ingia playstore search field calculator zitakuja app kibao zinafanya hiyo kazi.

Alternative tumia AR apps kama Measure ya Google, inatumia camera kupima sema sidhani kama inapima umbali mrefu sana hii inafaa umbali mfupi na pia inataka simu yenye AR.
 
Chukua surveyor! Gharama ni ndogo sana! Huku kwetu unampa buku 10 ya kaz na buku 2 ya boda!
 
Back
Top Bottom